1.MSIMAMIZI WA NDOA LAZIMA AWE KIJANA ASIEOA/KUOLEWA ILI HARUSI IPENDEZE
2.WASIMAMIZI LAZIMA WAWE WABAYA SANA WASURA KULIKO MAARUSI ILI MAARUSI WAPENDEZE
3.LAZIMA WADHAMINI WAWE KWENYE NDOA ILI KUWATUNZA NA KUWALEA MAARUSI.
4.IKIWEZEKANA CHUKUA VIKONGWE WASIMAMIE NDOA YAKO,HII ITAZUIA KUIBIWA EBO?
HAYA MWANA JF CHAGUA MOJA TU KATI YA HAYO HAPO JUU
kumbuka ushauri wako unawasaidia wengi.
wenye masikio na wasikie neno hili.........hapo lililo sahihi ni no3 tu..mengine hayo hayapo, na ni mawazo ya mtu binafsi..kwa upande wangu hayana tija kabisa!
Heeeeeh,kwa hiyo ndoa isiwe na msimamizi?none of the above...cha muhimu ni kuheshimu ndoa yako na kuijali, anayebomoa na kuijenga ndoa yako ni wewe mwenyewe.
Heeeeeh,kwa hiyo ndoa isiwe na msimamizi?
unaelekea kwenye ukweli nimekugongea thankshao ni mashahidi tu, kama wangekuwa wako makini na usimamizi wao ndoa nyingi zingekuwa hazivunjiki