Lipi ni sahihi kulifuata?

Lipi ni sahihi kulifuata?

Tall

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Posts
1,425
Reaction score
168
1.MSIMAMIZI WA NDOA LAZIMA AWE KIJANA ASIEOA/KUOLEWA ILI HARUSI IPENDEZE
2.WASIMAMIZI LAZIMA WAWE WABAYA SANA WASURA KULIKO MAARUSI ILI MAARUSI WAPENDEZE
3.LAZIMA WADHAMINI WAWE KWENYE NDOA ILI KUWATUNZA NA KUWALEA MAARUSI.
4.IKIWEZEKANA CHUKUA VIKONGWE WASIMAMIE NDOA YAKO,HII ITAZUIA KUIBIWA EBO?

HAYA MWANA JF CHAGUA MOJA TU KATI YA HAYO HAPO JUU
kumbuka ushauri wako unawasaidia wengi.
 
Mie nadhani wasimamizi wa ndoa wawe kwenye ndoa na si ndoa tu bali wawe mfano mzuri wa kuigwa ,kama tujuavyo matatizo yote yanayotokea kwenye hizi ndoa wasimamizi ni wa kwanza kuhusishwa kama yatakuwa yameshindikana
Sasa wewe ukaweke kijana single hajui uchungu wa ndoa atatoa ushauri gani ?
Pia swala la uzuri mie hapo sijui niseme niseme nini!
 
WAWE WANANDOA......(kwani nini madhumuni ya kuwa na wasimamizi wa ndoa?)

hawa watasaidia sana hata kutoa ushauri pale unapohitajika, maana wana uzoefu kwenye hiyo taasisi.
 
Hapo lililo sahihi ni no3 tu..mengine hayo hayapo, na ni mawazo ya mtu binafsi..Kwa upande wangu hayana tija kabisa!
 
Msimamizi au mdhamini wa ndoa ni lazima awe ni mtu mwenye uzoefu na mikikimikiki ya ndoa ili awe na uwezo na ujuzi wa kuwashauri vyema wanandoa wapya. Kwa hiyo ni LAZIMA WADHAMINI WAWE KWENYE NDOA ILI KUWATUNZA NA KUWALEA MAARUSI
 
1.MSIMAMIZI WA NDOA LAZIMA AWE KIJANA ASIEOA/KUOLEWA ILI HARUSI IPENDEZE
2.WASIMAMIZI LAZIMA WAWE WABAYA SANA WASURA KULIKO MAARUSI ILI MAARUSI WAPENDEZE
3.LAZIMA WADHAMINI WAWE KWENYE NDOA ILI KUWATUNZA NA KUWALEA MAARUSI.
4.IKIWEZEKANA CHUKUA VIKONGWE WASIMAMIE NDOA YAKO,HII ITAZUIA KUIBIWA EBO?

HAYA MWANA JF CHAGUA MOJA TU KATI YA HAYO HAPO JUU
kumbuka ushauri wako unawasaidia wengi.

none of the above...cha muhimu ni kuheshimu ndoa yako na kuijali, anayebomoa na kuijenga ndoa yako ni wewe mwenyewe.
 
hapo lililo sahihi ni no3 tu..mengine hayo hayapo, na ni mawazo ya mtu binafsi..kwa upande wangu hayana tija kabisa!
wenye masikio na wasikie neno hili.........
 
none of the above...cha muhimu ni kuheshimu ndoa yako na kuijali, anayebomoa na kuijenga ndoa yako ni wewe mwenyewe.
Heeeeeh,kwa hiyo ndoa isiwe na msimamizi?
 
ndoa ni ya watu wawili wanaokuwa mwili mmoja na nyie wawili mkiumba ulimwengu wenu wa ndoa amtakaa kusuluishwa na wapambe wala wachungaji
 
hao ni mashahidi tu, kama wangekuwa wako makini na usimamizi wao ndoa nyingi zingekuwa hazivunjiki
unaelekea kwenye ukweli nimekugongea thanks
 
namba mbili mwaya...,ndoa kama kuvunjika si wazazi si wasimamizi can do anything about it!shurti bibi harusi nifunikwe na matron kwa uzuri siku yangu ya harusi?..inahuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu?
 
Back
Top Bottom