hapo ntaibiwa mpaka mwisho mume mwenyewe anapenda kutoka mwenyewe sana kisa nina mtoto wa miaka minne ntamwachia nani na hataki habari za housgeli
jamani jf sitajuta kwa nini nimejiunga is more uducating and entertain ma soul
karibu jf...
nimeipenda stail yako ya kubadili jina wakati wa presentation ya kitu genuineLong time the boss nimejiunga
ma dia kama unaipenda na narudia tena kama unaipenda ndoa yako kamwe usichunguze hayo mambo kwani hata kama ukiyajua hayatabadili uhalisia na kutokujua ni bora kutakupunguzia jaka moyo. Siku hizi wenzio huwa tunawaweka bize asaa 24 hadi mwenyewe anakoma. kwani huwa hapendi kutoka na wewe mara kwa mara? jijengee tabia ya kutoka naye
Kadada naomba nikuulize... Umeolewa? Ndoa yako ina umri gani? Kama bado siku ukipata uzoefu ktk ndoa kwa japo miaka mitano tu naomba uniPM nikuambie kitu changu.
wewe ndo unamu amsha mwenzio
mimi nilipoona tu kaambiwa nime trace simu
nikajua tayari 'keshachapwa mtu'
nikamjibu kiutu uzima
Asprin nimeolewa 10 years sasa nina nina watoto 3 mmdogo ana mwez mmoja sasa.
Hongera umeolewa na rafiki yako. Si wote wenye bahati hiyo.
hee,mbona unakuwa mkali hivyo?kama mumewe anakunywa pombe hapo
na probably anakopa pia hizo pombe
na huyo mwanamke anajirahisisha kwake.....sijui niikujibu vipi hapo
watu wazima wanaelewa....
wewe hujadhalilishwa
kwani mumeo akila chakula reastaurant huko njiani
amekudhalilisha wewe kwa mapishi yako?
mimi huwa nachoka,mtu akicheat,kwa kuwa hakuonyeshi,ni anakupenda.mapenzi gani hayo?ku cheat,ni kuna kitu anakikosa ndani ya ndoa,kinamfanya acheat.mwanaume aki cheat hata kama hajionyeshi kwangu mimi huwa hakupendi.kwa nini tunapenda kujidanganya?wapo wanaume wana mapenzi na wake zao,na hawajawahi ku cheatEversmilin, kwanza nakupa pole kabisa ya dhti kwa hayali unayoipata kwa sasa. Pili napenda nikushauri kama mwanamke mtu mzima mwenye mume wa halali yaani humuibii mtu mumewe.
Ma dia maisha ya ndoa yanajengwa na uaminifu na upendo na heshima tu. Mambo engine yote ni siasa zisizokuwa na mpango wa kustawisha penzi. Ninaamini kwanza mumeo , tena na hata huyo mwizi wako anakuogopa na kukugwaya. so just cool down. Waa usitake kuyajua ya kama kweli walivuana chupi au la kwani kwa kufanya hivyo unaweza badala ya kujenga ukabomoa kumbuka mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
kwa kua kabinti kenyewe mvuto ni F basi wewe jikoki kimtindo uwe wa kupendeza muda wowote kama hukua unajua kulala ukiwa umepaka lipstic na poda anza leo ila usizidishe. pia mweke mumeo bize wiki nzima. Ningekuwa mimi wewe ningeanza kwa kuomba outing kwenda hapo pub kila jion. usione ubahili kila siku mchana mwabie mumeo leo sweet nina bia zako mbili na nyama nusu jion nataka nikakupatie. nenda nae hapo mpe bia mbili kama na nyama choma, akimaliza rudi naye home. Kwa binadam wa kawaida kama alikuwa anacheat ukumuweka bize unambadilisha moo na fikira matokeo yake wewe utashinda. kamwe usimchunguze but keep him busy tena ukiwa huko usimweleze matatizo ya home bali mambo mazuri ambayo unajua anapenda kuskia. mwache huyo gume gume ababaike mwenyewe atahama kwenye hiyo pub.
Naamin meo ni anakuheshim na kukupenda ndio maana hajakuonyeshea wazi.na hilo ond la muhim kwan huwa hatuangalii anatembea na nani bali je ananiheshimu kiasi kwamba anayafanya kwa siri?