Eversmilin, kwanza nakupa pole kabisa ya dhti kwa hayali unayoipata kwa sasa. Pili napenda nikushauri kama mwanamke mtu mzima mwenye mume wa halali yaani humuibii mtu mumewe.
Ma dia maisha ya ndoa yanajengwa na uaminifu na upendo na heshima tu. Mambo engine yote ni siasa zisizokuwa na mpango wa kustawisha penzi. Ninaamini kwanza mumeo , tena na hata huyo mwizi wako anakuogopa na kukugwaya. so just cool down. Waa usitake kuyajua ya kama kweli walivuana chupi au la kwani kwa kufanya hivyo unaweza badala ya kujenga ukabomoa kumbuka mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
kwa kua kabinti kenyewe mvuto ni F basi wewe jikoki kimtindo uwe wa kupendeza muda wowote kama hukua unajua kulala ukiwa umepaka lipstic na poda anza leo ila usizidishe. pia mweke mumeo bize wiki nzima. Ningekuwa mimi wewe ningeanza kwa kuomba outing kwenda hapo pub kila jion. usione ubahili kila siku mchana mwabie mumeo leo sweet nina bia zako mbili na nyama nusu jion nataka nikakupatie. nenda nae hapo mpe bia mbili kama na nyama choma, akimaliza rudi naye home. Kwa binadam wa kawaida kama alikuwa anacheat ukumuweka bize unambadilisha moo na fikira matokeo yake wewe utashinda. kamwe usimchunguze but keep him busy tena ukiwa huko usimweleze matatizo ya home bali mambo mazuri ambayo unajua anapenda kuskia. mwache huyo gume gume ababaike mwenyewe atahama kwenye hiyo pub.
Naamin meo ni anakuheshim na kukupenda ndio maana hajakuonyeshea wazi.na hilo ond la muhim kwan huwa hatuangalii anatembea na nani bali je ananiheshimu kiasi kwamba anayafanya kwa siri?