Lipigie kura Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuweza kushinda kipengele cha ‘Best Government Page of the Year 2020’

TANESCO angalieni huyu mdau hapa, ...
 
Labda kama kungekua na worst page of the year tungewapigia kura
Lipigie kura Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuweza kushinda kipengele cha *Best Government page of the year* kwa mwaka 2020.

Cha kufanya;

1. Fungua hiyo link utakutana na neno Vote chini kabisa ya ukurasa

2. Utakutana na Vipengele vitatu yani *Award Category*, *Sub Category * na *Selection*

3. Kwa upande wa Award Category chagua *DIGITAL GOVERNANCE* na chagua *BEST GOVERNMENT PAGE OF THE YEAR* kwenye kipengele cha Sub Category

4. Kwenye kipengele cha Selection chagua TANESCO

Hatua ya mwisho wameandika VOTE NOW! Bonyeza hapo na utakua umefanikiwa kupiga kura yako. Asanteni sana na tunaomba ushirikiano wako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco mnajitahidi sana huwezi walinganisha na Dawasco mko vizuri kwa kweli [emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanza hizo kura tume ya uchaguzi imewekwa na nani?[emoji28][emoji53][emoji6]

Tanesco ndo shirika la umma linalofanya bidii sana kutupatia huduma angalau,Vote 4 Tanesco

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mnavokata umeme siku hizi kura yangu hampati

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lipigie kura Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuweza kushinda kipengele cha *Best Government page of the year* kwa mwaka 2020.

Cha kufanya;

1. Fungua hiyo link utakutana na neno Vote chini kabisa ya ukurasa

2. Utakutana na Vipengele vitatu yani *Award Category*, *Sub Category * na *Selection*

3. Kwa upande wa Award Category chagua *DIGITAL GOVERNANCE* na chagua *BEST GOVERNMENT PAGE OF THE YEAR* kwenye kipengele cha Sub Category

4. Kwenye kipengele cha Selection chagua TANESCO

Hatua ya mwisho wameandika VOTE NOW! Bonyeza hapo na utakua umefanikiwa kupiga kura yako. Asanteni sana na tunaomba ushirikiano wako!

Mimi nawapigia kura sasa hivi ila naomba mnijibu swali dogo
Hivi umeme unapita kwangu nguzo nje kabisa ila ni two phase. Je nikitaka three phase Tanesco mnaouwezo wa kuigeuza hiyo two phase kua three mkaniwekea kwangu ?? Au itabidi mtafte three phase iliyo karibu na kwangu in which case itanicost nguzo coZ three phase iko mbali kidogo. Asante.
 
Wadau nisaidieni kujizuia nisije pigwa ban aisee
 
Tanesco Musoma ni tatizo sana! Watu wanataka kufuatwa fuatwa ili kutimiza wajibu wao! TAT ya hovyo sana. Naanzaje kupiga kura .

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Leo mtaambiwa tuvotieni kuwa "Best Government page of the year" kwenye matokeo mnasikia mtangaza matokeo anasema jamaa wameshinda kuwa "Best Government utility of the year"[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lipigie kura Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuweza kushinda kipengele cha *Best Government page of the year* kwa mwaka 2020.

Cha kufanya;

1. Fungua hiyo link utakutana na neno Vote chini kabisa ya ukurasa

2. Utakutana na Vipengele vitatu yani *Award Category*, *Sub Category * na *Selection*

3. Kwa upande wa Award Category chagua *DIGITAL GOVERNANCE* na chagua *BEST GOVERNMENT PAGE OF THE YEAR* kwenye kipengele cha Sub Category

4. Kwenye kipengele cha Selection chagua TANESCO

Hatua ya mwisho wameandika VOTE NOW! Bonyeza hapo na utakua umefanikiwa kupiga kura yako. Asanteni sana na tunaomba ushirikiano wako!

Habari wakuu, wote tunaelewa njia pekee ya kuidhibiti corona isisambae kwa kiwango kikubwa ni kukaa ndani

Katika kipindi hiki uchumi umeyumba kwa kiasi kikubwa, ni mategeo ya wengi kwamba serikali itakuwa na msaada mkubwa kwa wananchi wake kwa kupunguza au kuondoa tozo mbalimbali

Umeme imekuwa nishati muhimu katika maisha ya kila siku, kipindi hiki watu wanahitaji umeme kwa kiwango kikubwa kwa sababu wanashinda majumbani mwao, pia wanatumia kuhifadhi vyakula kwa kiwango kikubwa

Niitake serikali hii kupitia Tanesco kupunguza ama kufutilia mbali tozo na gharama zote za umeme katika msimu huu wa mapambano dhidi ya corona

Itakumbukwa siku za nyuma ofisi ya mkoa wa Dar es salaam uliwaomba wamiliki wa nyumba za kupanga kupunguza na kusamehe kodi kwa wapangaji wake kwasababu uchumi umeyumba kwa wananchi wote, hivyo ni zamu ya serikali sasa kuhakikisha unatoa tozo zote za umeme
 
Back
Top Bottom