Lipo wapi Soko la kuku wa kisasa DSM

Lipo wapi Soko la kuku wa kisasa DSM

kinywele ki1

Senior Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
119
Reaction score
23
Nataka nianze kufuga kuku hawa wa kisasa wa mwezi mmoja, soko nitalipata wapi niwe nauza kwa jumla. Nataka nianze na kuku 200 kwanza.

Kuna mtu aliniambia Shekilango, sasa anaejua utaratibu wa Shekilango tafadhali aniambie.
 
Back
Top Bottom