Kuna jamaa yangu mdomo wake (lips) mara nyingi akiongea unakuwa mweupe, wengi wanasema ni lips fungus
1. Inasababshwa na nini?
2. Nini matibabu yake (ili weupe huo usiwepo)
Maelezo yenu yatamsaidia kujisikia vibaya mbele ya washikaji wenzake.
Kwa maelezo yako hizo sio Fangazi,UNAWEZA KUUITA NI DRY WHITE LIPS /[
INGAWA HUJASEMA KUWA WEUPE HUO UNAAMBATANA NA UKAVU WA LIPS AU LA] .Kama lips zinageuka nyeupe huku zikiwa kavu baada ya muda ni state of dehydration[kukaukiwa au kupungukiwa na maji].hali hii huonekana kwa watu wanaofunga kula na kunywa kwa masaa mengi,watu wenye utapiamlo,wagonjwa wa kisukari,kuharisha,
alcoholism.tabia ya kupenda kujilamba lips kupita kiasi,n.k.
USHAURI.
kama anajiona hana matatizo ya ziada
1. ale Vitamin B1 tabs,atumie ndimu ,anywe maji ya kutosha ,
2. atumie exfoliant,kama st.ives apricot scrub,kwenye lips na Afanye gentle massage,hii itamsaidia kuondoa ngozi iliokufa[maana kama hiyo ngozi ipo, hata apake lip bum kiasi gani weupe utarudi tu.],halafu baada ya massage apake hiyo lip bum mara kwa mara,yaani atembee nayo,zipo zile transparent ni nzuri kama ni mwanaume.