Wadau za asubuhi, mimi kuna katatizo kadogo kwenye lips zangu kwa kweli kananikera, ni mda sasa hizi lips zangu upande wa chini ya mdomo zimekua zimeungua Yani kama nakunywa pombe kali sasa sijui nawezaje tatua tatizo hili
acha pombe kaliiHyo picha ya jamaa no 6 ndio sawa kabisa na tatizo langu...ngoja nifanye utaratibu wa hiyo aloevera lipbam...
acha pombe kalii
Mkuu mi niko hivyo tokea utoto wangu na daktari alisema hamna ishu ila wakati wa baridi zinakauka sana na kubanduka kimtimdo. Hiyo iko more on maumbile tu not ugonjwa. Kama zinatoka vidonda thats another issue. Kwema lakini?