Lips kuungua msaada please

Lips kuungua msaada please

buzbud

Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
40
Reaction score
17
Wadau za asubuhi, mimi kuna katatizo kadogo kwenye lips zangu kwa kweli kananikera, ni mda sasa hizi lips zangu upande wa chini ya mdomo zimekua zimeungua Yani kama nakunywa pombe kali sasa sijui nawezaje tatua tatizo hili
================================================================================================================

images
images
images
images
images
images

images
images
images
 
Wadau za asubuhi, mimi kuna katatizo kadogo kwenye lips zangu kwa kweli kananikera, ni mda sasa hizi lips zangu upande wa chini ya mdomo zimekua zimeungua Yani kama nakunywa pombe kali sasa sijui nawezaje tatua tatizo hili

Mkuu pole!Pata aloevera lipbam. Tuwasiliane.
 
Hyo picha ya jamaa no 6 ndio sawa kabisa na tatizo langu...ngoja nifanye utaratibu wa hiyo aloevera lipbam...
 
Unatumia pombe gani? Nenda hospitali wewe.
EMT umeona nimemshauri strongly aende hospitali. LOL

Definitely wala hakuhitaji kufanya maombi hapo; ni kumwona daktari tuu.
 
Mkuu mi niko hivyo tokea utoto wangu na daktari alisema hamna ishu ila wakati wa baridi zinakauka sana na kubanduka kimtimdo. Hiyo iko more on maumbile tu not ugonjwa. Kama zinatoka vidonda thats another issue. Kwema lakini?
 
Ni vizuri kumuona doctor mwingine, bado sayansi haijafikia mwisho. Kuna a lot of things not known to science yet.
 
nenda hospital pima ukimwi kama hauna huo ni ukowefu wa vitamin c na madini flani mwilimi arovera haito kusaidia mie mwenyewe nimesumbuliwa na hilo shida ndani ya miaka tatu nimekuja pona na mavidonge ya kuongeza madini na vodonge vya vitamin c. fwatilia upone niungonjwa mdogo but unapoteza furaha ya usoni.
 
dah hili tatizo hata mm linanisumbua hata cjui nianzie wap maana linaongezeka kila siku na situmii pombe wala soda ni kwamba kipind cha barid mdomo unakua mkavu then unapasuka baada ya kipind cha barid kupita ile sehem iliyopasuka au kutoka ngoz ya juu inaziba lakini inaacha kama mchubuko lakini hakuna maumivu kwa anaejua tiba atujuze pliz........
 
aliyetoa ushauri wa vidonge vya vitamin c ametoa ushauri sahihi mana mimi kuna watu wawili ofisini ambao walikuwa na tatizo kama hilo la kuungua mdomo kwa kipindi tofauti na wakaenda hospital na wakapewa vidonge vya vitamin c na baada ya muda walipona kila mmoja kwa wakati wake. hivyo ni vizuri kumuona daktari ukapata tiba ila akisema hauna ugonjwa basi si mbaya kutumia vidonge vya vitamin c kwani havina madhara mwilini hasa kama utafuata dozi.
 
Watu wengine wanadhani alovera na jibu kwa kila kitu,kumbe wapi.
 
thanx VAN MAGOLI nitajarib hiyo kitu manake weng hudhani nakunywa pombe.
 
Back
Top Bottom