Lipuli SC yasababisha mashabiki wa Yanga SC kupigana Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam

Lipuli SC yasababisha mashabiki wa Yanga SC kupigana Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam

tramadol

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
5,383
Reaction score
4,323
Katika hali isiyo ya kawaida leo Katika Uwanja wa Uhuru mashabiki wa Yanga wamejikuta wakiingia katika mizozo mara kwa mara kufuatia kutokuwa na Imani na mazingira ya leo uwanjani hapo kiasi cha Jeshi la Polisi kuzuia makundi ya mashibiki hao ambao walikuwa na hasira wakiamini Kuna hujuma dhidi ya timu yao.

Mpaka mchezo unakwisha timu hizo zimetoka sare ya goli moja kwa moja lakini nje ya uwanja mashibiki wamekaa vikundi vikundi wakijadili kuwa timu yao Kuna hujuma toka kwa watani wao wa jadi.

Lakini hakuna aliyejeruhiwa
 
The principle of rapid heating and cooling kina apply kwenye soka letu.
Matopeni wana heat haraka na ku cool haraka katikati ya msimu.
Yanga wana heat taratibu. Mwisho wa msimu watakuwa kwenye peak!
 
Point yangu ni kwambakuanza droo kufungwa ama kufunga bado sio kigezo cha kuwa bingwa.

Kubwa kwenye mpira wowote lazima ujiulize mechi ilikua nzuri? Ilikua inasisimua? Fitness ya wachezaji? Makosa yaliyofanywa yalikua yanaweza kuzuilika n.k

Football is all about entertainment
 
Back
Top Bottom