tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,323
Katika hali isiyo ya kawaida leo Katika Uwanja wa Uhuru mashabiki wa Yanga wamejikuta wakiingia katika mizozo mara kwa mara kufuatia kutokuwa na Imani na mazingira ya leo uwanjani hapo kiasi cha Jeshi la Polisi kuzuia makundi ya mashibiki hao ambao walikuwa na hasira wakiamini Kuna hujuma dhidi ya timu yao.
Mpaka mchezo unakwisha timu hizo zimetoka sare ya goli moja kwa moja lakini nje ya uwanja mashibiki wamekaa vikundi vikundi wakijadili kuwa timu yao Kuna hujuma toka kwa watani wao wa jadi.
Lakini hakuna aliyejeruhiwa