Lipuli SC yasababisha mashabiki wa Yanga SC kupigana Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam

Baiskeli ya miti huwa haifiki mbali. umeshasahau wakati mnadai timu yenu kwa Hans Pope hapo Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The principle of rapid heating and cooling kina apply kwenye soka letu.
Matopeni wana heat haraka na ku cool haraka katikati ya msimu.
Yanga wana heat taratibu. Mwisho wa msimu watakuwa kwenye peak!

Kwahiyo Yanga mtakuwa kwenye HEAT?
 
Peak!
Watakuwa kwenye heat wanaotafuta za mezani kule FIFA
Naona leo hali shwari. Mlizidi mno na Tshishi kaminywa leo vilivyo

Gongowazi kwa mihemuko tu, yaani mechi moja tu kucheza ya ligi ndio mlete fujo, mara gari, mara ooh....!
 
Yanga mwaka jana ilikua ya kumi na moja wakati Simba ilikua number moja katika ngwe karibu yote ya kwanza. Ila ubingwa.....
Malinzi yuko lupango mhenga... hivi sasa linachezwa soka sio mbeleko
 
Entertainment?? Hahaha

Imeanza lini? Mbeleko za Malinzi hazipo...

Mpira magoli...

Burudani nendeni club huko. Uwanjani ni soka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…