Lipuli SC yasababisha mashabiki wa Yanga SC kupigana Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam

Lipuli SC yasababisha mashabiki wa Yanga SC kupigana Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam

Kati hali isiyo ya kawaida leo Katika Uwanja wa Uhuru mashabiki wa Yanga wamejikuta wakiingia ktk mizozo mara kwa mara kufuatia kutokuwa na Imani na mazingira ya leo uwanjani hapo kiasi cha Jeshi la Polisi kuzuia makundi ya mashibiki hao ambao walikuwa na hasira wakiamini Kuna hujuma dhidi ya timu yao.

Mpaka mchezo unakwisha timu hizo zimetoka dare ya goli moja kwa moja lakini nje ya uwanja mashibiki wamekaa vikundi vikundi wakijadili kuwa timu yao Kuna hujuma toka kwa watani wao wa jadi.

Lakini hakuna aliyejeruhiwa
Baiskeli ya miti huwa haifiki mbali. umeshasahau wakati mnadai timu yenu kwa Hans Pope hapo Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The principle of rapid heating and cooling kina apply kwenye soka letu.
Matopeni wana heat haraka na ku cool haraka katikati ya msimu.
Yanga wana heat taratibu. Mwisho wa msimu watakuwa kwenye peak!

Kwahiyo Yanga mtakuwa kwenye HEAT?
 
Peak!
Watakuwa kwenye heat wanaotafuta za mezani kule FIFA
Naona leo hali shwari. Mlizidi mno na Tshishi kaminywa leo vilivyo

Gongowazi kwa mihemuko tu, yaani mechi moja tu kucheza ya ligi ndio mlete fujo, mara gari, mara ooh....!
 
Yanga mwaka jana ilikua ya kumi na moja wakati Simba ilikua number moja katika ngwe karibu yote ya kwanza. Ila ubingwa.....
Malinzi yuko lupango mhenga... hivi sasa linachezwa soka sio mbeleko
 
Point yangu ni kwambakuanza droo kufungwa ama kufunga bado sio kigezo cha kuwa bingwa.

Kubwa kwenye mpira wowote lazima ujiulize mechi ilikua nzuri? Ilikua inasisimua? Fitness ya wachezaji? Makosa yaliyofanywa yalikua yanaweza kuzuilika n.k

Football is all about entertainment
Entertainment?? Hahaha

Imeanza lini? Mbeleko za Malinzi hazipo...

Mpira magoli...

Burudani nendeni club huko. Uwanjani ni soka tu
 
Back
Top Bottom