Ngada imewajaa kichwani wewe hakuona ngao ya jamii walipigwa na mnyama eti lakini wanamshangilia baby shishi?Sasa sare mtoe nyinnyi alaf mtutwishe simba lawama yanga mkojeee??chezeni mpira acheni nahau!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipewa na mfungwaYanga mwaka jana ilikua ya kumi na moja wakati Simba ilikua number moja katika ngwe karibu yote ya kwanza. Ila ubingwa.....
Mbeleko imekatikaThe principle of rapid heating and cooling kina apply kwenye soka letu.
Matopeni wana heat haraka na ku cool haraka katikati ya msimu.
Yanga wana heat taratibu. Mwisho wa msimu watakuwa kwenye peak!
Sijawah kumuona anacheza mpira mbovu vile labda ni pandikiziAjib atakoma!
Ha ha ha ha... Mbeleko iko jela sio?Mbeleko hakuna tena Mhenga
Kama babu anapiga goli nne huyo anatufaa kuliko mkorogo baby shishiSasa huyo babu ni timu gani makini inayoweza kumsajili na vijana wamejaa tele?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana Lipuli ali detect heat aka climbKwahiyo Yanga mtakuwa kwenye HEAT?
Yanga mwaka jana ilikua ya kumi na moja wakati Simba ilikua number moja katika ngwe karibu yote ya kwanza. Ila ubingwa.....
The principle of rapid heating and cooling kina apply kwenye soka letu.
Matopeni wana heat haraka na ku cool haraka katikati ya msimu.
Yanga wana heat taratibu. Mwisho wa msimu watakuwa kwenye peak!
Sasa huyo babu ni timu gani makini inayoweza kumsajili na vijana wamejaa tele?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya FIFA?
Mwaka wa tano huu, the same theory applies.