Lipuli SC yasababisha mashabiki wa Yanga SC kupigana Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam

Lipuli SC yasababisha mashabiki wa Yanga SC kupigana Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam

Hii page imekaa kinafiki. Sijaona mtu akiuliza kama hizo taarifa ni za kweli au za kutunga. Mwandishi sijaona ukiweka source ya hiyo taarifa. Pamoja na yote hata picha imekosekana.? Kukaa kimakundi hiyo inatokea kwa timu yoyote sijui labda uniambie nini kingine.?

Tuache Uchochezi Bandugu
 
Mashabiki wa timu kubwa wamekuwa wakiaminishwa na magazeti na vyombo vya habari kuwa timu za kutoka mikoani si lolote.
Timu kubwa badala ya kufanya mazoezi zimekuwa zikisubiri kutumia mbinu na ujanja ujanja katika kupata matokeo.
Sasa angalia timu iliyopanda daraja imefanya mazoezi na kuwa na pumzi ya kuhimili mchezo kwa dakika 90.
Mashabiki tuamini kwa timu kufanya mazoezi ya kutosha na wala siyo vinginevyo,ndipo Tanzania itaonekana katika dunia ya mpira!!
 
Mlikuwa mnasema foadi za simba wahenga lakini foadi za yanga kama ngoma naye ni poor kuna muda alibaki na gol kipa lakini akashindwa kufunga huyu naye kamusoko yeye na gol kipa anataka eti afunge kwa ufundi ajibu wa simba siyo huyu wa sasa mimi simwelei ana remba sana nimemwona mechi nyingi sana lakini hana impact katika timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walidahani Simba ni wajinga kuwatupia kaa la moto yanga..hahaha..Ajib Fanya kazi
Ajib amelelewa simba toka udogo wake
 
Hakuna mbeleko tena.Malinzi yuko jela,manji yuko jela.TFF ya kina wambura yanga wasitegemee kubebwa.Mlikuwa hamshindi mechi mpaka timu pinzani mchezaji wao apewe kadi nyekundu.Ss hamna!!
 
Back
Top Bottom