nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Sumu ikawa inamfuata Kindoki ye peke? Comma bale ba petit bengine? ππππππ[
Vremaa kama ilipaswa ikuye mayele imekuya mayele! Mwenyee kocha mukubwa wa bana As Vita alipiga pongezi mingi kwa grande team ya Simba Nyama kali!πππππndiye alikuwa mchezaji tishio kaletwa pale na kocha mkubwa sana toka congo,sumu ilikuwa special kwa ajili yake
ka -LIPULI-wa na umeshinda VITAHakuna kitu kizuri Kama ushinde vita halafu jirani yako kalipuliwa πππππππππΈπΈπΈπΈ
Aisee hiyo sumu naomba taifa stars waifuate Watumie dhidi ya Uganda twende AFCON... Hahahahaha kila anayefungwa sumuhabari za uhakika zinasema chumba cha yanga kilipuliziwa sumu kali iliyomuathiri sana kipa proffesional toka congo ambaye pia ni keeper namba moja wa team ya taifa ya congo aitwaye klaus kindoki
sumu hiyo ilisababisha yanga kufungwa goal moja bila
ka -LIPULI-wa na umeshinda VITA