Lipuli waliifanyia Yanga umafia huu

Lipuli waliifanyia Yanga umafia huu

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
habari za uhakika zinasema chumba cha yanga kilipuliziwa sumu kali iliyomuathiri sana kipa proffesional toka congo ambaye pia ni keeper namba moja wa team ya taifa ya congo aitwaye klaus kindoki
sumu hiyo ilisababisha yanga kufungwa goal moja bila
 
ndiye alikuwa mchezaji tishio kaletwa pale na kocha mkubwa sana toka congo,sumu ilikuwa special kwa ajili yake
Vremaa kama ilipaswa ikuye mayele imekuya mayele! Mwenyee kocha mukubwa wa bana As Vita alipiga pongezi mingi kwa grande team ya Simba Nyama kali!😂😂😂😂😂
 
Makocha kama seleman matola ndio wanafaa hata kufundisha hizi timu kubwa ila nashangaaa wanamchukulia poa tu!
Ila ni bonge la kocha kwa kweli
 
habari za uhakika zinasema chumba cha yanga kilipuliziwa sumu kali iliyomuathiri sana kipa proffesional toka congo ambaye pia ni keeper namba moja wa team ya taifa ya congo aitwaye klaus kindoki
sumu hiyo ilisababisha yanga kufungwa goal moja bila
Aisee hiyo sumu naomba taifa stars waifuate Watumie dhidi ya Uganda twende AFCON... Hahahahaha kila anayefungwa sumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali imesema tanzania haina vita ila ina milipuko midogo midogo kama iliyotokea iringa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ko inamaana Zuhura alikimbia hiyo sum kavu
 
Hii siridi ilifaa kuwa kwenye jukwaa la jokes
 
Back
Top Bottom