Lipuli yafanikiwa kurudi ligu kuu ya Tanzania (VPL)

WANAPALUHENGO, LUNOGE LWEKI.. Hongera zao wakaze msuri sasa,
 
LIPULI NA SIASA ZA IRINGA,HAPA JESCA KULE MWAKALEBELA {CCM}.MSIGWA KULE DC KASESERA[TOKOMEZA CDM].KWENYE BIASHARA POP HANCE VS WAZAWA,
 
Hizo timu za kugawa pointi kwa Simba na Yanga wala sizipongezi,ligi imekuwa kama ya Spain,angalau Azzam wanatoa ushindani.
Acha kufananisha ligi yenye vipaji na ligi zakijinga, we Spain kuna timu dhaifu waulize huko EPL wanazifahamu
 
Tafuta record ya lipuli kwenye ligi daraja la kwanza halafu ndo utasema wanabebwa au la, pia lipuli imeshinda mechi nyingi za ugenini, maana mzunguko wa kwanza tulikuwa away na tukawa tunaongoza ligi.
Sasa kama inawezekana wanabebwa ugenini na nyumbani labda.
.ila sisi tunachojua vijana walipiga soka hatari
 
Time will tell!! Hiyo ilijulikana kuwa afe kipa afe beki lazima ilikuwa ipande tu na mwaka huu uchaguzi!!! Yetu macho mimi siku hiyo nikiwa uwanjani kidogo simu yangu ivunjwe kisa ilionekana kama nina record mchezo hapo utaniambia nini???
 
Time will tell!! Hiyo ilijulikana kuwa afe kipa afe beki lazima ilikuwa ipande tu na mwaka huu uchaguzi!!! Yetu macho mimi siku hiyo nikiwa uwanjani kidogo simu yangu ivunjwe kisa ilionekana kama nina record mchezo hapo utaniambia nini???
Huo ni uzushi tu wa nyie watu wa dar,hizo timu zenu za dar mbona tulizifunga zikiwa kwao na huko tuliwanyang'anya simu? Ile mechi ya friends rangers nayo tuliwanyang'anya simu? Mechi ya polisi nayo tuliwanyang'anya simu?, mzunguko wa kwanza wote sisi tumechezea away na ukamalizika tukiwa kileleni vipi tulikuwa tinawanyang'anya simu? Ongea inavyojua ila sisi tumeshapanda ligi kuu
 
Sasa mkuu una uhakika mimi ni Mtu wa dar?? Ukweli lazima usemwe tutaona kama mnauwezo wa kubaki ligi kuu hatabkwa msimu mmoja!! Ni mambo mengi yako nyuma wala sina haja ya kuyasema yote.
 
Mpira unapoingiliwa na hatufu ya siasa kila jambo huharibika. Karibuni wana kwetu ktk VPL
 
Sasa mkuu una uhakika mimi ni Mtu wa dar?? Ukweli lazima usemwe tutaona kama mnauwezo wa kubaki ligi kuu hatabkwa msimu mmoja!! Ni mambo mengi yako nyuma wala sina haja ya kuyasema yote.
Hayo maombi ya nyie watu wa dar wala hayatutishi..
Juhudi zetu zimefanikiwa na tupo vpl...karibuni somora
 
Unachezaje round nzima away labda!!!!
 
Unachezaje round nzima away labda!!!!
Round ya kwanza asilimia kubwa ilikuwa away, ni mechi chache ndo tulicheza nyumbani, hii yote ni kwasababu timu tano zilikuwa za mkoa wa dar kwahiyo ili kuzipunguzia gharama timu ratiba ikawa timu kutoka nje ya dar ni bora zikienda zicheze angalau na timu mbili au tatu ndo zirudi nyumbani..kwahiyo lipuli ikacheza mechi nyingi nje kuliko nyumbani
 
Full Time
Lipuli 3-1 Polisi Dar es Salaam

Lipuli inafanikiwa kucheza Ligi kuu kwa msimu wa 2017-2018

Wanapaluhengo Oyeeeeee!!
Haijarudi, imekuja tu kusalimia. Next season itarudi ilikotoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…