Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana tu...mwaka wa uchaguzi.Hii timu ndio ilikuwa inalalamikiwa kubebwa?
Ena leke lunoge lumwiTwilumbaa vayao.. tulipamwinga mwagitoo
Unapenda libolo kaa mkao likuingie muruaLibolo vs Simba.
Lipuli vs Simba.
Acha kufananisha ligi yenye vipaji na ligi zakijinga, we Spain kuna timu dhaifu waulize huko EPL wanazifahamuHizo timu za kugawa pointi kwa Simba na Yanga wala sizipongezi,ligi imekuwa kama ya Spain,angalau Azzam wanatoa ushindani.
Hahah kama wewe ni Mbumbumbu fc lishakupitia hilo.Unapenda libolo kaa mkao likuingie murua
Tafuta record ya lipuli kwenye ligi daraja la kwanza halafu ndo utasema wanabebwa au la, pia lipuli imeshinda mechi nyingi za ugenini, maana mzunguko wa kwanza tulikuwa away na tukawa tunaongoza ligi.Hii timu ilikuwa lazima ipande tu ama afe kipa au beki!!! Nilishuhudia mechi yao moja mmm, kweli tuna safari ndefu mno ya soka letu!! Siku hiyo ukionekana una smartphone una record game ni shidaaa! Na kuhakikishia amepanda na kushuka ndani ya msimu mmoja yaani ligi daraja la kwanza kuna figisufigisu huko!! Shetani akasomeee
Time will tell!! Hiyo ilijulikana kuwa afe kipa afe beki lazima ilikuwa ipande tu na mwaka huu uchaguzi!!! Yetu macho mimi siku hiyo nikiwa uwanjani kidogo simu yangu ivunjwe kisa ilionekana kama nina record mchezo hapo utaniambia nini???Tafuta record ya lipuli kwenye ligi daraja la kwanza halafu ndo utasema wanabebwa au la, pia lipuli imeshinda mechi nyingi za ugenini, maana mzunguko wa kwanza tulikuwa away na tukawa tunaongoza ligi.
Sasa kama inawezekana wanabebwa ugenini na nyumbani labda.
.ila sisi tunachojua vijana walipiga soka hatari
Huo ni uzushi tu wa nyie watu wa dar,hizo timu zenu za dar mbona tulizifunga zikiwa kwao na huko tuliwanyang'anya simu? Ile mechi ya friends rangers nayo tuliwanyang'anya simu? Mechi ya polisi nayo tuliwanyang'anya simu?, mzunguko wa kwanza wote sisi tumechezea away na ukamalizika tukiwa kileleni vipi tulikuwa tinawanyang'anya simu? Ongea inavyojua ila sisi tumeshapanda ligi kuuTime will tell!! Hiyo ilijulikana kuwa afe kipa afe beki lazima ilikuwa ipande tu na mwaka huu uchaguzi!!! Yetu macho mimi siku hiyo nikiwa uwanjani kidogo simu yangu ivunjwe kisa ilionekana kama nina record mchezo hapo utaniambia nini???
Sasa mkuu una uhakika mimi ni Mtu wa dar?? Ukweli lazima usemwe tutaona kama mnauwezo wa kubaki ligi kuu hatabkwa msimu mmoja!! Ni mambo mengi yako nyuma wala sina haja ya kuyasema yote.Huo ni uzushi tu wa nyie watu wa dar,hizo timu zenu za dar mbona tulizifunga zikiwa kwao na huko tuliwanyang'anya simu? Ile mechi ya friends rangers nayo tuliwanyang'anya simu? Mechi ya polisi nayo tuliwanyang'anya simu?, mzunguko wa kwanza wote sisi tumechezea away na ukamalizika tukiwa kileleni vipi tulikuwa tinawanyang'anya simu? Ongea inavyojua ila sisi tumeshapanda ligi kuu
Hayo maombi ya nyie watu wa dar wala hayatutishi..Sasa mkuu una uhakika mimi ni Mtu wa dar?? Ukweli lazima usemwe tutaona kama mnauwezo wa kubaki ligi kuu hatabkwa msimu mmoja!! Ni mambo mengi yako nyuma wala sina haja ya kuyasema yote.
Lugha ya uchochez hiyoUnapenda libolo kaa mkao likuingie murua
Unachezaje round nzima away labda!!!!Huo ni uzushi tu wa nyie watu wa dar,hizo timu zenu za dar mbona tulizifunga zikiwa kwao na huko tuliwanyang'anya simu? Ile mechi ya friends rangers nayo tuliwanyang'anya simu? Mechi ya polisi nayo tuliwanyang'anya simu?, mzunguko wa kwanza wote sisi tumechezea away na ukamalizika tukiwa kileleni vipi tulikuwa tinawanyang'anya simu? Ongea inavyojua ila sisi tumeshapanda ligi kuu
Asanteni kwakutuongezea katimu kakukazabua kila gameHayo maombi ya nyie watu wa dar wala hayatutishi..
Juhudi zetu zimefanikiwa na tupo vpl...karibuni somora
Round ya kwanza asilimia kubwa ilikuwa away, ni mechi chache ndo tulicheza nyumbani, hii yote ni kwasababu timu tano zilikuwa za mkoa wa dar kwahiyo ili kuzipunguzia gharama timu ratiba ikawa timu kutoka nje ya dar ni bora zikienda zicheze angalau na timu mbili au tatu ndo zirudi nyumbani..kwahiyo lipuli ikacheza mechi nyingi nje kuliko nyumbaniUnachezaje round nzima away labda!!!!
Ha haha zarau hizo, wenzenu mtibwa walileta zarau kama hizo kwa mbao fc...kilichowakuta siri yaoAsanteni kwakutuongezea katimu kakukazabua kila game
Haijarudi, imekuja tu kusalimia. Next season itarudi ilikotokaFull Time
Lipuli 3-1 Polisi Dar es Salaam
Lipuli inafanikiwa kucheza Ligi kuu kwa msimu wa 2017-2018
Wanapaluhengo Oyeeeeee!!