Lipuli yafanikiwa kurudi ligu kuu ya Tanzania (VPL)

Ndio unyooshe kiswahili..... Hapa umeeleweka sio kusema MECHI ZOTE MMECHEZA UGENINI
 
Hii Lipuli ingebadilisha jina kidogo iitwe Libolo uone kuna timu fulani lazima itajiondoa kwenye ligi,maana wakiona au kusikia jina la Libolo vyupi vinawavuka wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…