GE2025 Lipumba: 2020 nilifanya kampeni nchi nzima, nikachinjiwa Mbuzi lakini nilipata kura 0

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Akiwa anazungumza kwenye mkutano mkuu maalum wa CUF wa kuchagua wagombea nafasi ya urais kwa upande Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar, Profesa Ibrahim alikumbushia dosari zilizotokea kwenye Uchaguzi wa 2020

Akitoa mfano namna ambavyo pamoja na kuchinjiwa kipindi cha kampeni lakini bado alipata kura 0 huku mgombea mwingine wa CUF pamoja na kujipigia kura yeye mwenyewe lakini alipata kura 0

Njaaa mbaya sana ameshatumika kama ....mipira ya kiume ileee sasa hawamtaki wala kumjaliii
 
2020

Akitoa mfano namna ambavyo pamoja na kuchinjiwa kipindi cha kampeni lakini bado alipata kura 0 huku mgombea mwingine wa CUF pamoja na kujipigia kura yeye mwenyewe lakini alipata kura
Polepole ndiyo alifanya unyama huu kwa profesa huyu na wapinzani wengine ktk uchaguzi wa 2020
 
Lipumba ni profesa wa uchumi ila ndo hivyo amekuwa useless kabisa kwa nchi yetu, Hana uzito tena. Nchi za wazetu wasomi kama hawa ndo walisaidia kwenye kuzijenga nchi zao ila kwetu wasomi wameingizwa kwenye siasa komedi.
 
Wakuu,

Akiwa anazungumza kwenye mkutano mkuu maalum wa CUF wa kuchagua wagombea nafasi ya urais kwa upande Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar, Profesa Ibrahim alikumbushia dosari zilizotokea kwenye Uchaguzi wa 2020

Akitoa mfano namna ambavyo pamoja na kuchinjiwa kipindi cha kampeni lakini bado alipata kura 0 huku mgombea mwingine wa CUF pamoja na kujipigia kura yeye mwenyewe lakini alipata kura 0

Naam hiyo ndo 2020
 
Chezea CCM wewe!

Mkiambiwa NoReformsNoElections muwe mnaelewa basi
 
Wakuu,

Akiwa anazungumza kwenye mkutano mkuu maalum wa CUF wa kuchagua wagombea nafasi ya urais kwa upande Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar, Profesa Ibrahim alikumbushia dosari zilizotokea kwenye Uchaguzi wa 2020

Akitoa mfano namna ambavyo pamoja na kuchinjiwa kipindi cha kampeni lakini bado alipata kura 0 huku mgombea mwingine wa CUF pamoja na kujipigia kura yeye mwenyewe lakini alipata kura 0

Msaliti
 
Eennhe ndiyo kura sio kula kama kula mbuzi tuna maanisha kura
 
Back
Top Bottom