Elections 2010 Lipumba aachwa kwenye mataa CUF


Ushahidi plz, au ndo chachandu baada ya uchaguzi?
 
endelea na ubezaji yakinifu
heri yako uliyewachagulia kifo (kwa kukosa hela za kulipia afya) na umaskini zaidi watanzania
 
Hapa naona tunaongea na mapunguani sasa.Hivi kuna tofauti gani kati ya PHD ya mambo ya kanisa na ya akina mkandala? nani anayewasaidia watanzania leo? Yawezwkaba Zubena na wenzako hamjui historia ya nchi hii, .... CCM uimala waka umejengwa kwa misingi ya Roma Empire, sasa kama hawakuwa na elimu mzuri tungifika hapo wanapojidai leo hii. someni historia ya dunia, muwe na mawazo mapana
 
Slaa ni pHD holder siyo kama JK wenu.
anajua anachokifanya, jk hawezi kufanya maamuzi mpaka kinana/makamba/rost tam aseme.
by the way ana mambo mengi ya kufanya,la kwanza kurudisha ushindi wake ulioporwa. u think its impossible!!!!!!!!!!

Ushindi gani ulioporwa? achaa kuwalisha wananchi sumu.
 

Zubeda,
Unashindwa kuelewa kuwa Kikwete kapewa kura za mezani zilizopikwa na vijana wake wa usalama wa taifa. Kiukweli Dr. Slaa alishaukwaa urais lakini ameporwa na majangili wa CCCM wanaotaka kulinda maslahi ya watu wachache wanaoinyonya nchi hii. Sijuwi unachokifurahia ni nini wakati unajua fika kuwa Kikwete ni mtu asiyeweza kuisogeza Tanzania mbele kiuchumi zaidi ya kuwawawezesha rafiki zake wezi kuendelea kuiibia nchi yetu.
 

Huo ni unafiki na uchochezi kama nilivyokwishawa kusema awali JF haina watu weeeengi kiasi cha kuweza kuleta mabadiliko mnayoyaita katiaka nchi hii kubwa amabayo sina hakika kama watuamiaji wa internet achilia mbali kuijui JF wanaweza wakafika robo wa watz. Sasa kama ulifanya utafiti kwa kuangalia hizi post kwenye JF ndugu umeungua kama si kuchemka. Sielwe ni kura zipi hizo unazosema zimemnyima Dr Tla a' urais, au kwa idadi ya wabunge aliyopata? Binafsi simkatai Dr Tla a', lakini anachokiwa kufanya ni kuangalia wapi alipoteleza na kurekebisha then next time naamini ataongeza idadi ya wabunge kama si kupata urais, lakini kama kipindi hiki chamiaka mitano atakuwa anfanya kazi ya kuwahubiri wananchi namna gani alivyoibiwa kura wakati hao hao wananchi utakaokuwa unawahubiria kuna ambao hawakukuchagu sidhani kama hiyo 2015 atayafikia mafanikio haya aliyoyafikia. Ninachokiona kwa Dr. Tla a' labda ni aibu, lakini anatakiwa ajue kwamba kwenye siasa aibu haitakiwi, hii si kazi ya kupewa kwa interview ya mtihani bali ni ya kuchaguliwa na watanzani. Kama kuna ushauri alioupata au anadhani kukataa matokeo ndo kutampa credit nadhani hapo si kweli.
 
Mala......y wa JF umefika huku.
 
Lipumba ni msomi na wala si mlafi wa madaraka yeye anatetea wanyonge ikiwa bara au zanzibar.
 

Zubeda, mimi sintakutukana wala kukudharau ila maoni yangu kwako ni hivi kama wewe na familia yako Mungu kawajalia kukaa kwenye nyumba za block huenda ina A/C haumhurumii mtu anayeishi kwenye tembe eti kwa kuwa tu si wewe na familia yako. Hujatembea tz ujionee kwamba watu wanahitaji kuhurumiwa? tusifanye mamabo kwa ushabiki sometime uwe na huruma cement 5000 na bati 5000 mwenye idea kama hii mimi naheshima sana Dr. Slaa.
 
Yeye hakujua kuwa kwenye Uisilamu kuna Matabaka? Wao wa visiwani ni bora zaidi sisi wa bara

Duuh hii si kweli kwenye uislamu hakuna matabaka kama unavyofikiria kwani Allah anasema ktk kitabu chake kitukufu :na tukawajaalia makabila na mataifa mbali mbali ili mpate kujuana na hakika ya mbora wenu ni yule anaye mcha Mungu" so mkuu angalia haya matabaka tunayatengeneza sie wenyewe binaadamu bt Mungu haya matabaka hakuyaweka kwani hata uwe mcha mungu ni yy mwenyewe ndie anaejua ni nani mcha Mungu

Shukran
 
upumbavu na ujinga vinatofautiana vipi jamani. Mwenzenu kiswahili chanipwaya kama JK
 
Ooh alimaanisha yeye ni kilimanjaro beer ananywewa, na alikua ana kili time tu.
 
Ni kipindi cha kutibu majeraha ya uchaguzi hakuna haja ya kuchekana wote sisi ni watanzania.

Kwa wale walioshindwa poleni sana na kwa walioshinda ni ushindi wa watanzania wote hakuna haja ya kejeri
 
Lipumba alidandia gari bila kujua linaenda wapi, sasa limeshafika anashangaa kukuta wenzie wanashuka yeye wamemuacha
 
kama kipindi hiki chamiaka mitano atakuwa anfanya kazi ya kuwahubiri wananchi namna gani alivyoibiwa kura wakati hao hao wananchi utakaokuwa unawahubiria kuna ambao hawakukuchagu sidhani kama hiyo 2015 atayafikia mafanikio haya aliyoyafikia. Ninachokiona kwa Dr. Tla a' labda ni aibu, lakini anatakiwa ajue kwamba kwenye siasa aibu haitakiwi, hii si kazi ya kupewa kwa interview ya mtihani bali ni ya kuchaguliwa na watanzani. Kama kuna ushauri alioupata au anadhani kukataa matokeo ndo kutampa credit nadhani hapo si kweli.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa NEC JK amechaguliwa na watu milioni 5 tu kati ya watanzania milioni 40. Hii ni sawa na asilimia 12 tu ya watanzania wote. Hivyo kuna hii 88% ya watanzania ambao hajamchagua JK na DR Slaa atakuwa anaongea nao ili 2015 ikifika CCM bye byeee. Maana 2015 haya yaliyotokea kwenye uchaguzi huu yatakuwa yamepatiwa dawa chungu na moto saana.
 


Yaani wewe @#$%^&@#$%^%$# ni matusi hayo, sema siwezi kutaja hapa, make Mod anaweza kunitoa
 
hapo kwenye nyekundu hicho kisomo kilikuwa ni cha kuhudumia kanisa TU!! .. uraini bado kilaza! TU hana elimu dunia. hata form 6 leaver ni msomi kushinda yeye



Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhh nchi hiii,Dk Slaa si mkwere ambaye amechaguliwa na population ya wakazi wa Dar-es-salaam na Pwani tu,aibu kweli CCM wote hawana akili wangekuwa na akili mngemshahuri mkwere,robo tatu ya watanzania hawamkubari ni robo tu ya watanzania waliompigia kura anapaswa ajiulize na kuona watanzania hawana imani na CCM.kumbukeni watanzania tunakaribia 42,000,000. na kati ya 20,000,000 waliojiandikisha kama ni kweli only 5,000,000 wamemchagua rais.Ni hatari kishindo kikowapi?

TUNAITAJI MAREKEBISHO YA KATIBA HATUKUBARI

MWENDO MDUNDO MPAKA KIELEWE
 
Gwallo kula zako TANO!!!!!!!! Zubeda hamna kitu,yes,I said it!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…