Kama kuna mlingano. sawa sawapatamu hapo!!!
Hivi ukiwa na elimu kubwa ya DINI ya KIKIRISTO ndio unaambiwa una PHD, ina maana Dr Slaa ni sawa na Sheikh KUNDECHA, maana wote wanaeleimu sawa za dini , ila labda kwa vile ukiwa na elimu ya dini ya kikirsto unaitwa DR na ukiwa na elimu kubwa ya dini ya kiislamu utaitwa sheigh ama Ulamaaa.