Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
- Thread starter
-
- #21
Walifanya makosa ya kimahesabu Mkandara. Hapa ndipo palikuwa kama Pemba yao ya bara. Ukiona hali iko hivi nambie strong hold yao iko wapi bara? Maana hata huko kusini hajawahi kupata mafanikio ya kujivunia!Duh yaani CUF Bukoba mjini imefikia hivi wakati ndio ilikuwa ngome yao Bara!
Ama kweli hawakusoma alama za nyakati.....
Weka zako ambazo hazijachakachuliwa.
Mimi huwa naweka vitu live. Sema nyie endeleeni kupata viti Pemba tu! na safari hii twaja kuchukua baadhi kwa kuanzia:A S wink:
Kenge, siku Dr Slaa alipokuja kutafuta wadhamini watu waliojitokeza hapo hapo uwanjani ni kama hivi.
Kwa wale wanaotaka kujua ramani ya uwanja huo angalia katika picha hii ulipo ukuta ulio na matangazo ya Cocacola kati kati ya uwanja kisha nenda kaangalie na kule kwenye picha ya Lipumba. Utagundua hana mtu hapo Bukoba. Waswahili wao usema, amefulia.
Walifanya makosa ya kimahesabu Mkandara. Hapa ndipo palikuwa kama Pemba yao ya bara. Ukiona hali iko hivi nambie strong hold yao iko wapi bara? Maana hata huko kusini hajawahi kupata mafanikio ya kujivunia!
Endelea kukaa katika ndoto. Utaamka umechelewa.Uchaguzi ukiwa Huru na Haki ndio utajua ..stronghold iko wapi..otherwise Msilie na Kuibiwa kura.
nasikitika kuona kura za wapinzani zinavyogawanyika....! hii ni faida kwa sisiem.
JOIN CHADEMA PLZZ...!
Hizi kura ni faida kwa upinzani labda kwa wale wasiojua hesabu wanadhani ni hasara kwa wapinzani.May be lakini pia inaweza kuwa faida kwa Slaa (Lindi, Mtwara, Dar na Tanga)
Weka zako ambazo hazijachakachuliwa.
Mimi huwa naweka vitu live. Sema nyie endeleeni kupata viti Pemba tu! na safari hii twaja kuchukua baadhi kwa kuanzia:A S wink:
Urasa wewe hujuwi mapandikizi ya ccm!kwa taarifa yako kuanzia mtei muasis wa chadema mpaka mpendazoea fried hakuna mpambanaji wa mageuzi pale,historia inaonyesha wapambanaji wa kweli ni cuf,kuanzia lipumba,hamadi mpaka minazi na migomba ipo nyuma ya cuf,kwa sababu kama sikuonja bakora za ffu basi jela,juma duni alikaa miaka 2 na nusu,seif sharif na lipumba bakora za ffu,je niambie mrema hakuwa na nguvu kuliko chadema na dr slaa wake?,ipo siku alikutana na ffu au alikaa jela? Wewe hujuwi siasa ya ccm,ila subiri uchaguzi utakuja kuniambia weka kumbukumbuku hili .._)
Ni dalili kuwa operesheni sangara ilifanya kazi na sio jambo la kusikitisha, ikumbukwe kuwa CUF na CHADEMA walifanya kazi kubwa ya kuelimisha watu kwenye kanda ya kusini (kwa CUF) na kanda ya ziwa kwa CHADEMA. tusikatae, licha ya changamoto chache kuna maendeleo makubwa katika elimu ya demokrasia.nasikitika kuona kura za wapinzani zinavyogawanyika....! hii ni faida kwa sisiem.
JOIN CHADEMA PLZZ...!
Duh yaani CUF Bukoba mjini imefikia hivi wakati ndio ilikuwa ngome yao Bara!
Ama kweli hawakusoma alama za nyakati.....
Ukweli unabaki pale pale tangu Lwakatare alipovunja ndoa na CUF nacho kama chama katika mkoa wa Kagera kikaisha. Hapa mjini hawatapata more than 300 votes, belive me or not ndivyo itakavyokuwa. Tena wameweka mgombea kwa kupandikizwa na Hamis Kagasheki with payments na wanajaribu kuji assemble lakini hamna kitu zaidi ya kubaki na wale wadini wachache wa dini ile inayojifanya kumiliki chama hicho.
Asante. Ni ukweli tu ndio utaviponya vyama vyetu visife na viendelee kuwa hai katika domokrasia hadi 2015. Bila hivyo hatutakutana kwenye viwanja hivi tena.[/COLOR][/B]
Mkuu,
Taratibu hapo kwenye red.......tuepuke mambo ya kunyoosheana vidole! Hatutakaa salama