Lipumba kushiriki maandamano ya kupinga mauji ya Palestina

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Mwenyekiti wa chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba Ijumaa April 05.2024 anatarajia kushiriki maandamano yaliyoandaliwa na waumini wa Kiislam wa dhehebu la Shia yanayolenga kupinga mauaji ya Halaiki na dhulma dhidi ya raia wa Palestina, yanayotarajiwa kufanyika Ilala Boma, Dar es Salaam

Taarifa ya chama hicho iliyotolewa leo, Alhamisi April 04.2024 na Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano kwa umma Taifa Mohamed Ngulangwa imeeleza kuwa Shia Duniani kote hutumia Ijumaa ya mwisho wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kila mwaka kuadhimisha siku ya mshikamano na Wapalestina (QUDUS)

Taarifa hiyo imeeleza kuwa, Prof. Lipumba atashiriki maandamano hayo kwa kuzingatia hali inayoendelea sasa nchini Palestina na kwa kuenzi msimamo wa kitaifa uliowekwa na waasisi wa Tanzania (Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Hayati Sheikh Abeid Amani Karume) ambao waliliachia Taifa heshima kubwa kwa kutetea wanyonge na kupinga dhulma kokote Duniani

Kuhusu mgogoro wa muda mrefu wa ukanda wa Gaza CUF imeeleza kuwa, msimamo wa Tanzania ulikuwa ni

Kuhusu mgogoro wa muda mrefu wa ukanda wa Gaza CUF imeeleza kuwa, msimamo wa Tanzania ulikuwa ni kusimama upande wa utetezi wa haki ya Wapalestina ambao kimsingi wanadaiwa kuteswa katika ardhi yao.

Chanzo:jambo tv.
 
Hii inasaidia nini? Sudan na Somalia watu wanakufa hapo miaka mingi sana. je hawa hawahitaji kuungwa mkono? au sababu wapalestina ni warabu?
Niliwahi kumuuliza hili swali mtu mmoja akajibu hao sudani na somalia ni wenyewe kwa wenyewe eti wakichoka wataacha ila palestina anauwawa na taifa jengine!
 
MAJIBU MEPESI SANA..... HAO WA SUDANI NA SOMALI NI MAAFRICA HAYANA ISSUE. SISI TUNAPIGANIA WAARABU HAWA NDO WANA MAIISHA YA THAMANI SANA KULIKO HII MIAFRIKA
 
Usikute anashiriki hayo maandamano akitegemea Israel itamwita impoze.
Huyu ndio profesa pekee aliyewahi kuhutubu umoja wa mataifa na alikua ni mshauri wa museveni hilo linawe!ekana!
 
Mwenyekiti wa chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba Ijumaa April 05.2024 anatarajia kushiriki maandamano yaliyoandaliwa na waumini wa Kiislam wa dhehebu la Shia yanayolenga kupinga mauaji ya Halaiki na dhulma dhidi ya raia wa Palestina, yanayotarajiwa kufanyika Ilala Boma, Dar es Salaam

Taarifa ya chama hicho iliyotolewa leo, Alhamisi April 04.2024 na Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano kwa umma Taifa Mohamed Ngulangwa imeeleza kuwa Shia Duniani kote hutumia Ijumaa ya mwisho wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kila mwaka kuadhimisha siku ya mshikamano na Wapalestina (QUDUS)

Taarifa hiyo imeeleza kuwa, Prof. Lipumba atashiriki maandamano hayo kwa kuzingatia hali inayoendelea sasa nchini Palestina na kwa kuenzi msimamo wa kitaifa uliowekwa na waasisi wa Tanzania (Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Hayati Sheikh Abeid Amani Karume) ambao waliliachia Taifa heshima kubwa kwa kutetea wanyonge na kupinga dhulma kokote Duniani

Kuhusu mgogoro wa muda mrefu wa ukanda wa Gaza CUF imeeleza kuwa, msimamo wa Tanzania ulikuwa ni
Mwenyekiti wa chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba Ijumaa April 05.2024 anatarajia kushiriki maandamano yaliyoandaliwa na waumini wa Kiislam wa dhehebu la Shia yanayolenga kupinga mauaji ya Halaiki na dhulma dhidi ya raia wa Palestina, yanayotarajiwa kufanyika Ilala Boma, Dar es Salaam

Taarifa ya chama hicho iliyotolewa leo, Alhamisi April 04.2024 na Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano kwa umma Taifa Mohamed Ngulangwa imeeleza kuwa Shia Duniani kote hutumia Ijumaa ya mwisho wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kila mwaka kuadhimisha siku ya mshikamano na Wapalestina (QUDUS)

Taarifa hiyo imeeleza kuwa, Prof. Lipumba atashiriki maandamano hayo kwa kuzingatia hali inayoendelea sasa nchini Palestina na kwa kuenzi msimamo wa kitaifa uliowekwa na waasisi wa Tanzania (Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Hayati Sheikh Abeid Amani Karume) ambao waliliachia Taifa heshima kubwa kwa kutetea wanyonge na kupinga dhulma kokote Duniani

Kuhusu mgogoro wa muda mrefu wa ukanda wa Gaza CUF imeeleza kuwa, msimamo wa Tanzania ulikuwa ni kusimama upande wa utetezi wa haki ya Wapalestina ambao kimsingi wanadaiwa kuteswa katika ardhi yao.

Chanzo:jambo tv.
Sisi Ma_Sunni vipi!? Tunaruhusiwa kushiriki!?
 
MAJIBU MEPESI SANA..... HAO WA SUDANI NA SOMALI NI MAAFRICA HAYANA ISSUE. SISI TUNAPIGANIA WAARABU HAWA NDO WANA MAIISHA YA THAMANI SANA KULIKO HII MIAFRIKA
Vita vya Somalia,Sudani,Kongo,Haiti,Ireland ya Kaskazini,Yemen ni vya wenyewe kwa wenyewe.Lakini vya Israel na Palestina viko tofauti,Israel amechokozwa na wanamgambo wa Palestina,matokeo yake anapiga raia,wanyonge,wasio na hatia.Hata vita vya Ukraine na Urusi,wanapigana wanajeshi,sio kuwapiga raia wasio na hatia.
 
Back
Top Bottom