Lipumba kushiriki maandamano ya kupinga mauji ya Palestina

Lipumba kushiriki maandamano ya kupinga mauji ya Palestina

Mzee hajaonekana siku nyingi sasa hapo amejipatia jukwaa kiaina ili aonekane kwamba yupo na ikibidi atangaze nia ya kugombea urais.
 
Vita vya Somalia,Sudani,Kongo,Haiti,Ireland ya Kaskazini,Yemen ni vya wenyewe kwa wenyewe.Lakini vya Israel na Palestina viko tofauti,Israel amechokozwa na wanamgambo wa Palestina,matokeo yake anapiga raia,wanyonge,wasio na hatia.Hata vita vya Ukraine na Urusi,wanapigana wanajeshi,sio kuwapiga raia wasio na hatia.
Vita haina macho. kuna mataifa wanakupiga halafu wanakimbia wanajificha nyuma ya raia hao hao.... utaacha kuwapiga kwa sababu hiyo huku wao wakikupiga? usichokoze ugomvi wa mawe kama unaishi nyumba ya mawe. sisi huwa tunashauriana kutumia human shield ili tukipigwa tuseme wamepigwa raia wasioa na hatia. hao magaidi hawavai kama wanajeshi. na sometimes hutumia wanawake na watoto pia
 
Vita vya Somalia,Sudani,Kongo,Haiti,Ireland ya Kaskazini,Yemen ni vya wenyewe kwa wenyewe.Lakini vya Israel na Palestina viko tofauti,Israel amechokozwa na wanamgambo wa Palestina,matokeo yake anapiga raia,wanyonge,wasio na hatia.Hata vita vya Ukraine na Urusi,wanapigana wanajeshi,sio kuwapiga raia wasio na hatia.
Kwa mfano Sudan waiskamu waarabu wanaua waislamu weusi wa Dafur kwa hiyo ni sawa tu?
 
Huu uzi umejaa hasira n komenti za wanaupako na bavicha.
 
Vitabu vyote vinasema Jerusalem ni Mji wa Wayahudi baada kuvamiwa na Majeshi ya Waarabu wakautwaa na kuuita QUDUS na sasa wanadai ni Mji wao.
 
Vitabu gani. Hivi hivi vya biblia iliyoandikwa na akina Paulo kwa kuwadanganya watu eti wameshukiwa na roho mtakatifu?
Vitabu vyote vinasema Jerusalem ni Mji wa Wayahudi baada kuvamiwa na Majeshi ya Waarabu wakautwaa na kuuita QUDUS na sasa wanadai ni Mji wao.
 
Niliwahi kumuuliza hili swali mtu mmoja akajibu hao sudani na somalia ni wenyewe kwa wenyewe eti wakichoka wataacha ila palestina anauwawa na taifa jengine!
Vita vya Somalia,Sudani,Kongo,Haiti,Ireland ya Kaskazini,Yemen ni vya wenyewe kwa wenyewe.Lakini vya Israel na Palestina viko tofauti,Israel amechokozwa na wanamgambo wa Palestina,matokeo yake anapiga raia,wanyonge,wasio na hatia.Hata vita vya Ukraine na Urusi,wanapigana wanajeshi,sio kuwapiga raia wasio na hatia.
Sivyo..
Pale Sudan ni Waarabu wa Janjaweed wanaotekeleza mauaji ya kimbari (genocide) dhidi ya Waafrika weusi hasa wa makabila ya Fur, Masalit, nk ili waishe, Waarabu wamiliki ardhi peke yao
 
wale waliouliwa si waarabu hao ni mayahudi hao acha tu wafe
Walioua kwrnda Israel ni wanamgambo wa Palestina sio raia wa kawaida.Wakati wanajeshi wa Israel,wanaua watoto,wanawake,wazee na waandishi wa habari,hawa wanahusika vipi na vita.
 
Sivyo..
Pale Sudan ni Waarabu wa Janjaweed wanaotekeleza mauaji ya kimbari (genocide) dhidi ya Waafrika weusi hasa wa makabila ya Fur, Masalit, nk ili waishe, Waarabu wamiliki ardhi peke yao
Sio kweli,hao unaowaita waarabu na hao unaowaita waafrika,wote ni ndugu moja,vile ni vita vya wenyewe kwa wenyewe.
 
Si ndivyo mlivyokua mkimpaisha alivyokua mgombea uraisi wa Cuf mwaka 95
Hata siku Moja, wagombea wangu pekee niliowahi kuwakubali toka upinzani walikuwa Dr. Slaa na Tundu Lisu tu. Huyo Lipumba, akina Lowassa nk hao umesema ww.
 
astaghafilulah sheikh umetumia neno kali waarabu unatakiwa kutamka jina lao kwa heshima hao si maarabu ni waarabih kama ambavyo hata shetani usimuudhi unatakiwa utamke sheitwan au sheikhtani
Naaan khabari zimefika, mida ya masjid hii, ngoja nivae tarawanda zangu nitie udhu nikaswali, nna maswala wangu mpyaaa kabisa.
 
Back
Top Bottom