Lipumba kushiriki maandamano ya kupinga mauji ya Palestina

Hii inasaidia nini? Sudan na Somalia watu wanakufa hapo miaka mingi sana. je hawa hawahitaji kuungwa mkono? au sababu wapalestina ni warabu?
Sudan na Somalia kuna mtu / taifa linawabana katika movement zao katika nchi yao au wanagombana wenyewe kwa wenyewe ?

Nadhani ukiwa na tabia ya kuchukia injustice popote kwa yoyote huwezi kuuliza kwanini huyu na siyo yule.....
 
Kupinga dhulma ni jambo jema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…