Elections 2010 Lipumba live on ITV

Elections 2010 Lipumba live on ITV

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,852
Wapiga kura wenzangu...rais Lipumba yupo live saa hii ITV....tusikie hoja zake....I hope umeme haujazimika kwa Msanii na Acid
 
Duh.. Lipumba anasema atamshughulikia Chenge na atawaleta SFO kutoa ushahidi dhidi yake.
 
Duh.. Lipumba anasema atamshughulikia Chenge na atawaleta SFO kutoa ushahidi dhidi yake.

ahhaaa...kumbe ni huyo....mimi kanichanganya alivyosema hawezi kumtaja huyo mtu hataki maneno na watu...ila Slaa yeye aliwataja....sijui Lipumba anaogopa nini maskini
 
Nasubiria kuona Mjengwa atasema nini baada ya huu mdahalo
 
preta, Rais Lipumba eee!

kiti cha urais safari hii kwa zamu mbona!
 
ahhaaa...kumbe ni huyo....mimi kanichanganya alivyosema hawezi kumtaja huyo mtu hataki maneno na watu...ila Slaa yeye aliwataja....sijui Lipumba anaogopa nini maskini
Hebu tupe updates bana! sisi huku kijijini hakuna umeme
 
Hebu tupe updates bana! sisi huku kijijini hakuna umeme

duh...leo wamekata kwako ili usisikie hoja za rais wako...anyway mimi nasikiliza lakini sielewi
 
anasema amefundisha watoto wa kizungu uchumi wote walikuwa wakristo....cuf sio chama cha kidini
 
Kuwa CUF ni chama cha udini ni propaganda na hayana maana. Anasema hawasilimishi wala hawabatizi. Ukifa ni wewe na mungu CUF inataka kuboresha maisha kabla hujafa!
 
Jumuiya ya EA tumeingia kichwakichwa tulitakiwa tujiandae. Hata hivyo hawezi kujitoa tena inabidi aendelee na mikataba iliyoko.
 
Sijui itakuaje Zenji safari hii maana baba wa taifa hayupo! ngoja tusubirie kipenga cha mwisho
 
Jumuiya ya EA tumeingia kichwakichwa tulitakiwa tujiandae. Hata hivyo hawezi kujitoa tena inabidi aendelee na mikataba iliyoko.

ndio hivyo itakavyokuwa eeh....duh....tutajifehemu
 
Lipumba mhuni kweli..anaua JK kichini chini..anasema CUF hawaendeshi campaign ki BMW (baba, mama na watoto)
 
Lipumba mhuni kweli..anaua JK kichini chini..anasema CUF hawaendeshi campaign ki BMW (baba, mama na watoto)

Jamani tunaomba mturekodie kwenye u-tube baadae nasi tuliombali tuweze kufaidi uhondo huo......BMW tena duh!!!!!! Hiyo mbona kali sana..... Kumbe Lipumba nae anaweza kuuma na kupulizia eeehhh!!!
 
Mpaka sasa siwaelewi wapinzani kuto kuungana kama kweli wana nia moja ya kuikomboa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom