Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Ccm-b...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajameni kama Tz ishawahi kupata magenious basi Lipumba tutamhesabu. Leo kasema anamuunga mkono dr.SLAA. Kaongeza kusema kuwa ila dr slaa ni kchuguu,yeye ni mlima. Kwa maneno ayo basi,usipompa lipumba basi ongeza kura kwa Slaa ili ashinde kwa kishindo. Ombi maalum: Dr.SLAA ukimwacha prof.Lipumba ktk muundo wa serikali yako mwaka 2015 sikupi kura mara ya pili. TANZANIA BILA MAJUHA INAWEZEKANA.
Amemkubali Slaa
dk.slaa anashambuliwa kila pande. Huku lipumba, huku mkerwe. Ila lipumba ni mmoja wa wapinga mageuzi wakuu.
Kauli zake zinadhihirisha wazi.
Lipumba kaniboa pale anapomshambulia Dr Slaa kuwa hawezi kujifananisha na yeye.Eti Dr Slaa ni kama kichuguu na Lipumba ni kama mlima Kilimanjaro.Very stupid.