Lipumba na Mutungi waumbuka , tuhuma zao za kutafuna hela za CUF zathibitishwa na CAG

Ni jambo zuri vyama vingine viige mazuri ya Chadema,ili kuepuka hayo mapungufu.
 
Hata mie nimejiuliza sana maswali, hapa JF pangechafukaje?
OK, hebu turudi tuwekane sawa. Mbowe ametuhumiwa sana na sio tuu hapa JF bali hata viongozi wa CCM akiwepo Polepole na wabunge (wale wajingawajinga kama Lusinde) kuwa ni mla Ruzuku na Chadema chama cha upigaji lakini inakuwaje CAG na wakaguzi wake wasiyaone hayo? Au ofisi ya CAG ni wanachama wa Chadema?
Ukweli unazidi kuwa wazi ingawa unakuja kwa mwendo wa pole sana
IMG_20200327_095503.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakuambia palepale ingetoka amri; ''wakamatwe viongozi wote wa CHADEMA wafungulieni kesi ya uhujumu uchumi na kutakatisha pesa! Sema dhambi hii imefanywa na CUF- CCM ndio maana hakutakuwa na lolote zaidi ya kufukia! Kesi ya ngedere na tumbili hii.
 
Hata mie nimejiuliza sana maswali, hapa JF pangechafukaje?
OK, hebu turudi tuwekane sawa. Mbowe ametuhumiwa sana na sio tuu hapa JF bali hata viongozi wa CCM akiwepo Polepole na wabunge (wale wajingawajinga kama Lusinde) kuwa ni mla Ruzuku na Chadema chama cha upigaji lakini inakuwaje CAG na wakaguzi wake wasiyaone hayo? Au ofisi ya CAG ni wanachama wa Chadema?
Ukweli unazidi kuwa wazi ingawa unakuja kwa mwendo wa pole sanaView attachment 1400700

Sent using Jamii Forums mobile app
Mutungi na Sisty Nyahoza wanahusika , Hawana pa kuchomokea
 
nakuambia palepale ingetoka amri; ''wakamatwe viongozi wote wa CHADEMA wafungulieni kesi ya uhujumu uchumi na kutakatisha pesa! Sema dhambi hii imefanywa na CUF- CCM ndio maana hakutakuwa na lolote zaidi ya kufukia! Kesi ya ngedere na tumbili hii.
Uko sahihi mno !
 
Dogo umasikini wako umesabishwa na ccm, machadema mungu ameyajalia akili elimu, na ukwasi, we myonge pambana na hali yako nyie ndo mtaji wa ccm kutawala milele, mkidhani mnawakomoa CDM kumbe mnaxidi kuwa wanyonge kipeuo cha pili
FB_IMG_1575390806699.jpg
FB_IMG_1575390800494.jpg
FB_IMG_1575390792397.jpg
 
Back
Top Bottom