Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana kama unategemea good treatment kutoka kwa home boy.I hope and I still believe that one day Lipumba will be our president and us people from kaliua,we will be getting good treatment from the government of Tanzania.
mapumba jinga sana hili zee"Mimi na Odinga tunafanana Sana kwenye historia ya maisha yetu ya siasa. Nilikuwa na mpango wa kutokugombea uchaguzi ujao lakini kwa jinsi ninavyoona matokeo ya urais nchini Kenya na jinsi Odinga anavyokimbiza, Nina kila sababu ya kurudi ulingoni kwenye uchaguzi wa 2025".
Maneno ya Prof Ibrahim Lipumba asubuhi hii kwenye mjadala BBC.
Angekuwa na akili angejua kwamba anahitaji kupumzika, ila ni Li pumba.Odinga anakimbiza wapi????huyu mzee apumzike sasa