Liquid Pub.Is it for real au kiki?

jamaa kavunjika mguu hapo hapo bar! sifa mbaya sana
 
Bongo ukitaka kuwa maarufu ni suala la dakika tuu.......fanya kituko kitie kwenye mitandao.
 
Jamaa anasema baa ya liquid itakuwa kubwa hadi kufika juu mbinguniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Konki fire
Liquid fire
 
Jamaa anasema baa ya liquid itakuwa kubwa hadi kufika juu mbinguniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Konki fire
Liquid fire
Inakiki sana na itakuwa kubwa kweli.ingekuwa sinza angewapiga bao la chaaz and co
 
Duuhh kumbe pale alivyo jirusha " ndio amevunjika mguu kiasi hicho
 
Mmmh hiyo sio liquid..liquid ipo chang'ombe pale kona ya kwenda tandika..hiyo ya tia sio liquid..liquid nyingine ilikua kigamboni sema ilifumgwa...kama unataka kuona clip zote za piers check na instaya dullsykes Wote ni makupe pale liquid..!!

Mkuu usingembishia mdau,ungefanya utafiti kwanza halafu ndo umpinge.

kwa kifupi Liquid ya Kigamboni na Liquid ya Chang'ombe mmiliki ni mmoja.

Ya kigamboni imeshafungwa..Iliyokuwa apo maduka mawili unaposema wewe imeshahamishwa baada ya watu wanaoishi ameneo hayo kulalamika makelele...Sasa hivi ameihamishia Uhasibu karibu na Chuo cha TIA.
 
Keshavunjika mguu... Antenna bila kinga'amuzi.... Injury mwaka nzima[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Liquid inapigwa sana promo ila kiuhalisia wana eneo dogo na baadhi ya siku parking kwa wenye magari inakuwa usumbufu.
liquid mwanzo walikua keko temeke now wamehama wapo kurasini maeneo karibu na chuo cha T.I.A ila pale kidgo pakubwa tofauti na walipokua mwanzo ila tu wanapokea customer wengi sana ila sio kwamba ni padgo
 
Dah nnasiku tele sijaenda kule basi nashukuru..
 
Aaiii mama Nakufaa konki faya,konki liquid,Pierre 120 pierre atabaki kuwa juu juu mbinguni aaiiii chuchu babyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kaka mi nimekuelewa sana,hii promo umeileta kiufundi sana😁😁
 
Du kwamba liquid pub is Likud pub?
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji44][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee vinaendana kama huyu na yule
 
Hyo ni mlevii yupo hvyo kweli anakunywa masaa 24 nyumban huwa anaenda kubadili nguo tu...hyo bar ipo kurasini karibu na chuo cha tia
Mbali sana kutoka tia, ipo karibu kilwa road police post au karibu pia na jitegemee sec
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…