Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Ni baa ya kishenzi kabisa.Keshavunjika mguu... Antenna bila kinga'amuzi.... Injury mwaka nzima[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 952375
Usijje Pelleka wageni wapo hapo utaaibika.
Ulinzi wao ni wa kishenzi.
Kuna wezi wa kufa mtu.
Sitokuja kukanyaga tena pale maishani mwangu.