Keshavunjika mguu... Antenna bila kinga'amuzi.... Injury mwaka nzima[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 952375
Ni baa ya kishenzi kabisa.
Usijje Pelleka wageni wapo hapo utaaibika.
Ulinzi wao ni wa kishenzi.
Kuna wezi wa kufa mtu.
Sitokuja kukanyaga tena pale maishani mwangu.