Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

Status
Not open for further replies.

- Well unajua siwezi hata kujadili hoja za huyu Mzungu Mkoloni kwa sababu mambo ya taifa langu hayamhusu, ukimsaidia mtu msaada haina maana kwamba unamu-own, na hasa msaada wenyewe unapokuwa kama wa hawa wazungu yaani kuturudishia walichotuibia na wanachotuibia kila siku ya Mungu kwa sababu ya uwezo wetu mdogo wa kufikiri na kujiendeleza.

- Ndio maana ninasema utumwa upo wa aina nyingi sana!


William.
 
Ahaa, Wakija akina Bush wakiwasifia Kilemba cha Ukoka Mnakenua Meno lakini akina Lisa wakiwachamba kwa Ufisadi wanakuwa Wakoloni

Serikali za kiafrika bwana hazitaki kukosolewa Mugabe alikuwa akiwaua wananchi wake kwa ufisadi wa kutisha aliokuwa akiufanya yeye na watu wake karibu. Wazungu walimkosoa akawajia kuwa wanataka kumtawala na kumpangia jinsi ya kuendesha nchi matokeo tunayaona Zimbabwe hali ya maisha ni ngumu kupita kiasi.
 
acheni kupoteza muda wenu na huyo Lisa wa kuuunda, nendeni kwenye page yake yenye friends 34 tu, akiwemo mkuu wetu wa jamvi(JF), kwa akili za darasa la tatu tu, huyu rockermdee ametungwa mahususi kwa kushambulia page ya usokitabu ya JK. hizi nguvu za chadema kutunga uongo wangezitumia kufanya mambo ya msingi wangeweza kupata tu kura tudogo.
 
i agree with you 100%
 

- Well as great thinker, siwezi kwenda this low yaani kujibu this kind of thinking ambazo ni lazima ziwe enforced na matusi, pole sana bro ila samahani sana! Tumia lugha inayoweza kueleweka na Great Thinkers maana hata huyo mzungu hakutumia matusi kama yako!

William!
 
du wewe mtu au mzuka, naona huelewi kinachoendelea duniani, u must be in hell
 

Kinachokuhusu ni kumpelekea kopo la saidia maskini ukifika airport unaingia mitini na pesa. Shame on you son of fisadi or fisadi himself
 
'Wazungu' wasingeweza kutuibia bila ya ushirikiano wa magavana na machifu wao akina JK , Sani Abacha et al.

- Saafi sana, lakini that is another subject of its own ninachosema hapa ni kwamba hakuna mzungu mwenye haki ya kuingilia mambo ya taifa langu, Tanzania hatuwamulii huyu mzungu nani awe Rais wao na yeye atuachie taifa letu sisi wananchi ndio tunaamua nani anatufaa nani hatufai!

William.
 
du wewe mtu au mzuka, naona huelewi kinachoendelea duniani, u must be in hell

Nenda ka google hilo jina kisha uje kuzungumza na mimi, huyo mtu anatambulika kwa facebook page yake tu na hii thread inawezekana? au una uvivu wa kufikiri.
 
Tatizo masultani wote ( including Sultani Malecela) wana wasiwasi kwamba sasa watanzania Wanaitaka nchi yao. Tunaitaka Nchi yetu Kesho
 

Yanamhusu kwa sana tu kwani :-
a. Wahamiaji wengi wanaenda huko marekani kwenda kutafuta maisha na hivyo kuliongezea zigo kubwa serikali ya marekani kuwahudumia. Unadhani kuna mtanzania angelienda marekani kama Bongo maisha yangelikuwa mazuri? Hivyo upungufu wa wahamiaji kwenda kutafuta maisha huko kunapunguza mzigo wa serikali yake kutuhudumia sie waganga njaa.

b. Tukiweza kujitegemea tutapunguza misaada tunayoomba kwao marekani. Binafsi hili linamhusu sana kwani pesa inayokuja Tanzania inatokana na kodi yake hivyo ana haki ya kuhoji matumizi yetu ya pesa kwa vyovyote vile. Kuhusu dhuluma walizozifanya zamani yes I could not agree with you more but nadhani hii ni argument nje mada kwani swali ni je yule dada alikuwa na haki ya kumkosoa JK au la?
 
Huwezi kutenganisha Hoja na mtu ndio maana na wewe unakwenda personal na Lisa, Ungekuwa unapenda Kujadili Hoja Ungejadili Mantiki ya Kile Lisa alichokizungumza

- Siwezi kujadili hoja ya Mkoloni kunifundisha nani ananifaa kwua Rais wangu na hasa mkoloni ambaye ni proven mwizi huko kwao Ulaya.

William.
 
Na lini utawaambia mafisadi wa thithiem warudishe pesa nyingi walizotuibia Watanzania? au huzijui? πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:

- Hapa ninajadili hoja ya Mzungu kuingil;ia mambo ya ndani ya taifa langu, ninasema hapana ajali mambo ya taifa lake kwanza ya taifa langu hayamuhusu!

William.
 
- Siwezi kujadili hoja ya Mkoloni kunifundisha nani ananifaa kwua Rais wangu na hasa mkoloni ambaye ni proven mwizi huko kwao Ulaya.

William.

Ni heri Mkoloni mwizi huko kwao Ulaya Kuliko Rais Mwizi huku kwetu Tanzania
 

Angesifia angekuwa halisi bila shaka amefanya kazi bomba. kiingereza chake si cha tanzania kwa hiyo sina shaka naye. wewe andika sentensi moja kama hakitakuwa kituko.
 
Huwezi kutenganisha Hoja na mtu ndio maana na wewe unakwenda personal na Lisa, Ungekuwa unapenda Kujadili Hoja Ungejadili Mantiki ya Kile Lisa alichokizungumza

- Siwezi kujadili hoja za Mzungu kunifundisha nani ananifaa kua kiongozi wangu Africa, ndio maana tulimfukuza bila ya yeye kupenda huku Africa Ni ili tuwe huru na tuamue mambo yetu wenyewe, kama tutaenda kumuomba msaada ni uamuzi wetu sio wake!

William.
 
Thank you lisa! Huyu mtu hana shida anawaonea huruma nyie! Lakini tunaboshana naye ti joji bush blaha blah,,,,,
 

Unaingia JF halafu kila unachoongea kina fulani. I will never take you seriously.

Kifupi ni kuwa mmeshindwa kujibu hoja, yeye ametoa hoja na zinataka hoja, period!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…