Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

Status
Not open for further replies.
- Well, shame on me kwa kukataa kuamuliwa na mkoloni nani ananifaa kwua kiongozi wangu, I can live with that bila tatizo, lakini ninasema mzungu ajali mambo ya taifa lake ya taifa langu aniachie Mtanzania, ndio maana Mwalimu aliwafukuza mbio sana.

William.

Mkuu Mwalimu Nyerere hakuishia kwa Wazungu tu hata wale waliokuwa wanataka kuuza Nchi aliwachamba vile vile, nakumbuka 1995 kuna Mkulu Mmoja alibadili hadi jina lengo auze Nji kwa waarabu !
 
Nampa big up huyu dada ameongea mengi sana hata ambayo sisi wabongo tumekuwa tukikaa kimya na kuona kuwa ni sawa. Hivi kweli huu mfumuko wa bei ni huyu mzungu anaouona au na sisi tunaona na kuchukulia mzaha? Nasikitika watu mnaompinga huyu mmarekani wakati anaongea facts tupu.

Ukweli uko pale pale huyu mkubwa wetu ni Dummy kama huyu mama alivyosema hapa, zaidi ya kucheka kama mtoto mchanga huwa hana kazi tofaui. Kwa machache aliyoongea ebu tuyatilie mkazo bila kuangalia ametudhadhaliisha kiasi gani, nashuku ametufumbua macho sisi vilaza tusiojishughulisha kujua yanayojiri kwenye nchi yetu.

I salute Lisa, keep it up!
 
- Ninatetea taifa langu kutoingiliwa na Wazungu tuliowafukuza bila kupenda, kama for that heshima yngu kwako inashuka so be it,
ila wazungu watuachie taifa letu maana sasa tuko huru kuamua mambo yetu, maana ni hao hao ndio waliotuletea hizi political confusions in the first place!

William.

Wewe baba! unaongea nini lakini? Kutwa raisi wako anashinda nje ya nchi kuomba misaada! Bila haya kwenye kampeni zake anaongea jinsi wamarekani watakavyowezesha e-medicine ( ujinga uliokubuhu) alafu unasema hutaki kuingiliwa na wazungu. Do you read what you write kweli and do you really know what you are talking about.? Kuomba omba kwa watu ndio upenyo wa ukoloni mamboleo na wazungu sniffing on our asses and deciding for our country. So just shut up! am realyy pissed now with people talking rubbish like this.
 
- Hao wazungu wangetuachia mambo yetu ya ndani tutayaamua wenyewe, wao wazungu mabaya waliyotufanyia Africa sio madogo eti, huyu mdada anasahau kwamba ni wizi wa familia yake kwa taifa lake ndio uliopelekea kuanzishwa kwa sheria ya Standard Act, ili kuzuia monopoly za wizi wa familia yake kwa wananchi wa US, sasa kama yeye ni mkweli angeanza kuwarudishia serikali ya US na wananchi wake hela walizoiba huko mpaka kuanzishiwa sheria.

- Africa bwana tunakuaga so desparate na ushindi wa uongozi kwamba hata huwa hatuulizi maswali magumu, halafu baadaye ndio tutakuja kuanza kutafutana uchawi, huyu dada hana moral authority yoyote ya kutufundisha wa-Tanzania kuhusu uzuri na ubaya wa viongozi wetu, kwa sababu tunayajua vizuri matatizo yetu, yeye na familia yake warudishe zile hela zote walizowabia wananchi wenzao huko US through biashara zao za mafuta na ngano!

Ahsanteni.

William.
A spade is a spade!
 
- Leo Mkoloni kasema nani awe kiongozi wangu kesho atasema nini? Vijana tukatae utumwa hata kama ni wa siku moja.

William.

utumwa wanao Viongozi wetu ambao kesho tunafukuza Madarakani, Hivi unakumbuka 1995 Mzee Jumanne alivyotaka Kutuuza Mpaka Mwalimu akawa mkali, sasa hao ndio manyag'au kuliko hata hao Wazungu
 
Mkuu Mwalimu Nyerere hakuishia kwa Wazungu tu hata wale waliokuwa wanataka kuuza Nchi aliwachamba vile vile, nakumbuka 1995 kuna Mkulu Mmoja alibadili hadi jina lengo auze Nji kwa waarabu !

- Mkuu ninajadili hoja muhimu kwa taifa langu as a Great Thinker, sio maneno maneno ya mitaani ambayo hayawezi kulisaidia taifa langu, ninasema hivi Mkoloni ajali mambo ya taifa lake la US, ya ndani ya Tanzania aniachie mwenye mwananch wa Tanzania.

William.
 
Watanzania wote kwa Ujumla wetu ikiwa na wewe Malecela, Lisa ametoa Ushauri Mzuri sana hapa naomba tuufanyie Kazi

LI class="uiUfiComment comment_1697954 ufiItem ufiItem"> Lisa M Rockefeller All Tanzanian's both in and outside the country, please take a phone call one or two of your family members, let them know their vote counts, and they should send the message to all they know that Kikwete does not deserve a second chance, dont be intimidated, your ballot power is more powerful than their tear gases. i have just recived a text from a friend in Mumbeya that, they have been tear gased. this it the family that kept me in Tanzania, and their son locked up
 
- Mkuu ninajadili hoja muhimu kwa taifa langu as a Great Thinker, sio maneno maneno ya mitaani ambayo hayawezi kulisaidia taifa langu, ninasema hivi Mkoloni ajali mambo ya taifa lake la US, ya ndani ya Tanzania aniachie mwenye mwananch wa Tanzania.

William.

Sasa unasema mkoloni wakati huko katika nchi yake, ondoka marekani ukaendeleze nchi yako tanzania, kama unaipenda kihivyo na haupendi nchi za wakoloni
 
Wewe baba! unaongea nini lakini? Kutwa raisi wako anashinda nje ya nchi kuomba misaada! Bila haya kwenye kampeni zake anaongea jinsi wamarekani watakavyowezesha e-medicine ( ujinga uliokubuhu) alafu unasema hutaki kuingiliwa na wazungu. Do you read what you write kweli and do you really know what you are talking about.? Kuomba omba kwa watu ndio upenyo wa ukoloni mamboleo na wazungu sniffing on our asses and deciding for our country. So just shut up! am realyy pissed now with people talking rubbish like this.

- Ungeangalia unachoongea kwanza, then ungegundua kwamba hata US huwa inaomba China, mara ya mwisho US iloomba Dola $ Million 150 za Stumulus isipokuwa waliomba kwa sheria iliyopitishwa na bunge, na sisi tunaomba msaada wa 40% ya budget yetu kwa wazungu kwa kutumia sheria inayokubalika na bunge letu lenye wabunge wa CCM na Upinzani, Slaa akiwa mmojawapo.

- Ninachoongelea mimi ni kukataa kuamuliwa na mzungu mkoloni nani ananifaa kuwa kiongozi wangu huko Africa, maana ni kukubali kwua mtumwa wa mkoloni aliyefukuzwa na Mwalimu baba wa taifa, pole sana kwa kutonielewa na mapovu mengi sana uliyonayo hayabadili anything, hoja yangu inaelweka kwamba mkoloni ajali mambo yake kwanza!

William.
 
Sasa unasema mkoloni wakati huko katika nchi yake, ondoka marekani ukaendeleze nchi yako tanzania, kama unaipenda kihivyo na haupendi nchi za wakoloni

Anamchukia Mkoloni Huku ana Green Card LoL! Wananchi tusipokuwa makini hawa Masultani wataendela kuneemeka na Kazi za Migongo yetu
 
Nimegundua kwamba Una kiwewe na Woga Juu ya Mabadiliko yanayoweza kutokea hapo Kesho! Mkuu kama na wewe ni Akina mjomba Kamlete siwezi kukulaumu una haki ya Kung'ang'ania Status Quo maana unafaidika nayo. Wazungu Wanaleta Misaada mnaigegeda wakihoji juu ya Pesa zao mnawaita wezi

hahahahahahah! mbavu sina! WANAIGEGEDA! nimeipanda sana hiiiii!
 
- Wizi wa familia yake kwa taifa lake unafahamika na mpaka kuna sheria iliyotungwa kwa sababu ya familia yake kwa hiyo ni haki kuongelea as opposed na bongo hasa hapa JF ambapo asiyemkubali Slaa basi ni mwizi na fisadi, ndio tofauti hapa ndugu yangu!

William.
Familia ya Rockfeller wapo huru hapa Marekani mbali ya pesa zao, walikuwa Magavana, na bado wana Seneta kule Western Virginia. Na kama tungependa kuchunguza familia sijui kama na wewe ungekuwa na haki ya kuzungumza. Wale walioko kwenye nyumba za glasi ni bora wasiwe wa kwanza kutupa mawe. Mimi hapa Marekani ninasomea mambo hayo ya madini juu ya tunavyonyonywa sasa nikimsikia Kikwete na Ngeleja wanasema eti sheria mpya walioitunga ni nzuri inanisikitisha sana. Hata alivyosema hivyo jana Jaji Bomani alibakia kinywa wazi.
YouTube - JK akizungumzia suala la Madini Michuzi Jr
 
utumwa wanao Viongozi wetu ambao kesho tunafukuza Madarakani, Hivi unakumbuka 1995 Mzee Jumanne alivyotaka Kutuuza Mpaka Mwalimu akawa mkali, sasa hao ndio manyag'au kuliko hata hao Wazungu

- Unajua mimi kujadili haya ni sawa na kujadili mambo ya Slaa na mke wa watu, siwezi kwenda that low maana haina faida yoyote wka taifa langu, pole sana bro sitajadili this great thinking zako za mitaani mitaani, hapa ni Great Thinkers tunajadili mustakabali wa taifa!

William.
 
- Kuna tofauti kubwa kati ya Rais anayezuru nchi yetu na Mzungu anayetaka kutuamulia Rais wetu awe nani!

William.

Hajatuambia rais wetu awe nani ila ametoa hoja za kuonyesha kuwa Kikwete hatufai; tunahitaji mabadiliko, na kwamba we dont deserve to be this poor, sasa unaonaje na wewe ukitueleza otherwise kwa hoja, kuna ugumu gani?
 
- Ninatetea taifa langu kutoingiliwa na Wazungu tuliowafukuza bila kupenda, kama for that heshima yngu kwako inashuka so be it,
ila wazungu watuachie taifa letu maana sasa tuko huru kuamua mambo yetu, maana ni hao hao ndio waliotuletea hizi political confusions in the first place!

William.

Mbona tunapokea misaada yenye masharti kama ya kina chief mangungu? au hujawahi kusikia hii misaada au huoni?

Halafu hawa si ndio JK huwa anawanadi kila siku hadi ikafiia pointi akatoa msemo kuwa "UKITAKA KULA LAZIMA NA WEWE ULIWE KIDOGO"
 
Sasa unasema mkoloni wakati huko katika nchi yake, ondoka marekani ukaendeleze nchi yako tanzania, kama unaipenda kihivyo na haupendi nchi za wakoloni

- Well this has nothing to do na hoja ta hand ni sawa na kusema kwa nini tuliwafukuza wakoloni halafu tunashikrikana nao anyways, hoja mufilisi kwa taifa, ninachosema ni kwamba mzungu hawezi kutuamilia kiongozi Africa, hili wote hapa JF tulikatae kama vile Mwalimu alivyokataa na kuwafukuza wakoloni na sasa tuko huru!

William.
 
- Ungeangalia unachoongea kwanza, then ungegundua kwamba hata US huwa inaomba China, mara ya mwisho US iloomba Dola $ Million 150 za Stumulus isipokuwa waliomba kwa sheria iliyopitishwa na bunge, na sisi tunaomba msaada wa 40% ya budget yetu kwa wazungu kwa kutumia sheria inayokubalika na bunge letu lenye wabunge wa CCM na Upinzani, Slaa akiwa mmojawapo.

- Ninachoongelea mimi ni kukataa kuamuliwa na mzungu mkoloni nani ananifaa kuwa kiongozi wangu huko Africa, maana ni kukubali kwua mtumwa wa mkoloni aliyefukuzwa na Mwalimu baba wa taifa, pole sana kwa kutonielewa na mapovu mengi sana uliyonayo hayabadili anything, hoja yangu inaelweka kwamba mkoloni ajali mambo yake kwanza!

William.

Misaada ya USA kupewa na Uchina usije ukalinganisa na ya Tanzania. Sio ukoloni peke yake hata mimi ningekuwa nakupa hela lazima ningeangalia maslahi yangu! Na kama ungekuwa unaigegeda na kuifuja ningekunanga vile vile. Kwahiyo kama hutaki nikunange, safisha nyumba yako and stay away from my money.
 
Nimegundua kwamba Una kiwewe na Woga Juu ya Mabadiliko yanayoweza kutokea hapo Kesho! Mkuu kama na wewe ni Akina mjomba Kamlete siwezi kukulaumu una haki ya Kung'ang'ania Status Quo maana unafaidika nayo. Wazungu Wanaleta Misaada mnaigegeda wakihoji juu ya Pesa zao mnawaita wezi

Mkuu Dr. mabadiliko hayakwepeki, la kufanya aanze kujifunza kwenda na mabadiliko. This is a tide/wave of change, it's unstoppable, unfortunately.
 
Anamchukia Mkoloni Huku ana Green Card LoL! Wananchi tusipokuwa makini hawa Masultani wataendela kuneemeka na Kazi za Migongo yetu

- Ni maneno ya mtaani mtaani ambayo yanaweza kukufanya a hero hapa JF, lakini hayana anything to do na taifa, hoja yangu ni kwamba mkoloni ajali mambo ya taifa lake kwanza, ya nani ananifaa kwua kiongozi wangu hayamuhusu!

William.
 
The Rockefeller family is very influential in all American circles, be it in government or civil organizations; if Lisa Rockefeller has discovered that Kikwete is the protector of corruption kingpins in Tanzania then believe me word will spread across all influential foundations and the U.S govt [ if it hasn't already] that Kikwete is not different from Mobutu [ Pale Msoga kijijini kwao kajenga makasili kama Mobutu alivyojenga kwao] and funds from America will dry up!! If the funds dry up then all the promises he has made on the campaign trail will go up in smoke!! Tutakuwa tumeliwa tena na mkwere na genge lake. Go vote for Dr. Slaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom