Nimesoma na kufuatilia kwa karibu majibishano kati ya Lisa na Ernesto Sheka. Kwanza napenda nimshukuru sana ndugu Ernesto. Amembana vizuri sana huyu dada. Kwanz kuweka rekodi sahihi Rais Kikwete hakuwahi kufika DC 2005 akiwa Rais. Safari ya kwanza ya Rais ilikuwa Kampala nayo ilikuwa Feb 2006. Kwa kuanzia tu huyu dada anadanganya kuwa alionana na Kikwete akiwa Rais 2005. Pili, kama alivyosema Ndugu Malecela William hapo juu hawa akina Rockfeller histori ya utajiri wao marekani ni wa wizi na rushwa kubwa hilo halipingiki. Tatu, nina hakika hasira zake kwa serikali ya JK, zinatokana na kushindwa kupata fadhila au msamaha fulani fulani katika kuhangaika kwake Tanzania. Wao kama NGO kuna malipo fulani wanalazima kulipa ili kuendelea na shughuli zao. Sasa wao walitaka msamaha ili huku wao pia hutengeneza hela kwa kazi zao hizo hizo. Ndugu zangu hasikudanye mtu, hawa watu wa international NGOs ni binadamu kama wengine na wana mahitaji kama mishahara ili kukidhi mahitaji ya familia zao. Hakuna NGO huja Tanzani au kwingineko bila ya matarajio fulani fulanina wao hutka kupata returns zao. Samahani sana ila huyu dada namuona kama mtu aliyetaka kitu fulani akashindwa kukipata na alitaka kumtumia Rais ili apate mteremko huo lakni akagonga mwamba. NDIO CHANZO CHA HASIRA ZAKE.
You need to be better than her, provide some evidence to prove the bolded comments of yours! It is not wise to continue blaming colonialists 50 years on. Its a shame, we need to stand on our own now! Here we dare talk sense, if you find yourself affected by kind of "conflict of interests" better avoid and dissappear b'se there are such as sports and "mambo ya kikubwa" go relax there!