Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,584
- 6,136
Wazungu wametufundisha kusoma na kuandika.
Wametuletea Magari, Computer, Umeme, Demokrasia, High Tech, Dini, Porno na taka nyingine.
Wanaendelea kututunza na hata jana Kikwete kajisifu jinsi anavyoongea na Wazungu.
Sasa, kusema eti Wazungu watuache wakati sisi wenyewe na Uvivu wetu huku tukiwa na Kiherehere ambacho haijulikani tutaishia kupata Mimba au Ukimwi kutoka kwa Wazungu, INAWEZEKANA?
Mbona Wachina walisema STOP na leo Wazungu ndiyo wanawapigia magoti?
Ukiona hivyo basi ujuwe kweli sisi tumelogwa au AISIFIAYE MVUA.....................