William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Mkulu 'Personal' unaruhusiwa wewe tu au?
Mbona umemhusisha Lisa na 'uwizi' wa Rocafela et c bila kujadili hoja zake?
Uyu Lisa naona ana hasira na JK khaa manake madongo anayoyatupa so
Kumbe ata wazungu hawampendi
- Siwezi kujadili hoja za Mzungu kunifundisha nani ananifaa kua kiongozi wangu Africa, ndio maana tulimfukuza bila ya yeye kupenda huku Africa Ni ili tuwe huru na tuamue mambo yetu wenyewe, kama tutaenda kumuomba msaada ni uamuzi wetu sio wake!
William.
Angesifia angekuwa halisi bila shaka amefanya kazi bomba. kiingereza chake si cha tanzania kwa hiyo sina shaka naye. wewe andika sentensi moja kama hakitakuwa kituko.
Uyu Lisa naona ana hasira na JK khaa manake madongo anayoyatupa so
Kumbe ata wazungu hawampendi
Ahaa, Wakija akina Bush wakiwasifia Kilemba cha Ukoka Mnakenua Meno lakini akina Lisa wakiwachamba kwa Ufisadi wanakuwa Wakoloni
- Wizi wa familia yake kwa taifa lake unafahamika na mpaka kuna sheria iliyotungwa kwa sababu ya familia yake kwa hiyo ni haki kuongelea as opposed na bongo hasa hapa JF ambapo asiyemkubali Slaa basi ni mwizi na fisadi, ndio tofauti hapa ndugu yangu!
William.
- Kuna tofauti kubwa kati ya Rais anayezuru nchi yetu na Mzungu anayetaka kutuamulia Rais wetu awe nani!
William.
- Kuna tofauti kubwa kati ya Rais anayezuru nchi yetu na Mzungu anayetaka kutuamulia Rais wetu awe nani!
William.
Anachokiongea huyo dada ni confirmation ya kile tunachokiongea JF kila siku, nashangaa unamshambulia yeye badala ya kuona kumbe wengi blacks and whites wako fed up na Kikwete na CCM yake.
Unachofanya ni kukimbia hoja in the name of mkoloni. Humanity has no borders wala skin color mkuu na ndio maana dunia haikuwaachia Haiti wahangaike kivyao.
Watu wana uchungu na humanity sio wewe unaridhika na status quo eti kwa sababu wewe na familia yako mnanufaika. Selfishness inakusumbua ndugu yangu.
Nimegundua kwamba Una kiwewe na Woga Juu ya Mabadiliko yanayoweza kutokea hapo Kesho! Mkuu kama na wewe ni Akina mjomba Kamlete siwezi kukulaumu una haki ya Kung'ang'ania Status Quo maana unafaidika nayo. Wazungu Wanaleta Misaada mnaigegeda wakihoji juu ya Pesa zao mnawaita wezi
- Kuna tofauti kubwa kati ya Rais anayezuru nchi yetu na Mzungu anayetaka kutuamulia Rais wetu awe nani!
William.
- Well ninachosema ni kwamba mzungu tulimfukuza na kuwa huru na kujitawala wenyewe, ninachokataa ni the idea ya mzungu yule yule tena kujaribu kuniambia nani ananifaa kunitawala, ninasema ni afadhali nimsikilize Dr. slaa lakini sio mzungu mkoloni, maana ninakataa kwua mtumwa!
William.
UNA USHAHIDI KUWA ANAHUSIKA?? Kama huna tutaomba ufute kauli yako. Hapa tunamzungumzia Lisa na hoja zake sio familia yake imefanya nini.
Na yule Kalonzo vice Prez wa Kenya mbona hamkusema?? au kwa sababu 'ushauri wake' unafeva course yenu sio?? u guys are bunch of jokers..
Kinachokuhusu ni kumpelekea kopo la saidia maskini ukifika airport unaingia mitini na pesa. Shame on you son of fisadi or fisadi himself
Mzungu yule kuandika ukweli wa mambo haitakusababisha wewe uwe mtumwa hata siku moja. Acha usanii!