Lishe kwa mtoto - Unampikia nini mtoto wako (miezi 6-12)

Unamuwekea na kachumbari kidogo iliochanganywa na pilipili mbuzi
 
Mkologee uju mwepesi..sana..mchanganyie na blue band..na vilevile mpondee ndizi au viazi viwe laini mix na supu ya nyama..
Mtoto mdogo mnapigisha Blue Band? Malezi ya mwendo kasi haya. Unaijua Blue band lakini?
 
.......NDIZI NA SIAGI....
MAHITAJI
NDIZI BUKOBA AU BUTOKE 1
SIAGI TSP 1/4
MAZIWA FRESH 1/4 CUP
JINSI YA KUANDAA
CHUKUA NDIZI IOSHE TU KWA NJEE KISHA ICHEMSHE NA MAGANDA YAKE MPAKA IIVE
ITOE IMENYE ISAGE PAMOJA NA MAZIWA NA SIAGI NA URUDISHE JIKONI KWA MOTO MDOGO KWA DK 3
EPUA MLISHE MTOTO
 
Usimlazimishe mtoto kula kitu asichokipenda kikawaida wazazi walezi hupenda sana kumlisha mtoto chakula kile kilichoandaliwa visical kwa watu wazima hii sio sawa kabisa kwa mtoto wala hatuwatendei haki na pia tunakuwa tunawapa vitu vingine mwili wake bado haujafikia kuhimili mtoto wako akianza kupata maradhi unaanza kusema nni shi shida umeinza wwe mwenyewe
nitatoa mchango wangu kwa chakula gani umpatia mototo wa kuanzia miez 6 hadi 12 na kuanzia 12 hadi mwaka 1
ni vzir sana kubadisha menu ya mtoto kila wakati hii itampa hamu ya kula kwasababu menu kuwa tofauti pia mtoto ukipatia chakula ulichoandaa ukiona hakipendi usimfosi jaribu kumchungua ni chakula gani anachopenda ssa ndani ya hicho chakula anachopelea unamchanganyia virutubisho vitakavyompa nguvu zaid

tuone baadhi tu ya vyakula unavyotakiwa kuviandaa kwajili ya motoo pekee 6-12

NDIZI NA SIAGI
MAHITJI:-
NDIZI BUKOBA 1
MAZIWA FRESHI YALIYOCHEMSHWA 1 CUP
SIAGI AU BUTTER 1tsp
Matayarisho:-
osha ndiz ikiwa na magaga ichemshe ikiwa na maganda mapaka iive itoe na imenye usitoe nyuz za ndizi kisha changanya na maziwa na siagi saga ktk brenda na irudishe jikoni kwa moto mdogo kwa dk 3 ili siagi ikosee vzr
baada ya hapo mlishe mtoto safiii atafurahia


KIAZI KITAM NA MAZIWA

MHITAJI
Maziwa 1/4 cup
kiazi 1
jinsi ya kuandaa
osha kiazi usikimenye na kichemshe kiive na toa tia ktk maji ya baridi kwa dk 3 -4 na tia ktk brenda na maziwa saga
mlishe mtoto


ATTER DHIF PG SIAGI
Mahitji
unga wa atter isiyokobolewa ioshe vizr na uianike sehem nzur na changanya na mpunga ulioosha saga pamoja
3 tbsp
siagi 1tsp
maziwa 1/4 cu
asali 1 tbsp

jishi ya kuandaa

tia maziwa na unga koroga mpaka unatakapokuwa mzito hakikisha usiwe mzito sana kisha tia siagi na asali koroga na epua mlishe mtoto

uji huu unaweza kupa mtu mzima alie na upungufu wa kinga mwilili
nikisema upungufu wa kinga mwilini naanisha yule SD4 zimeshuka huongeza kinga mwlin dhi ya magonjwa nyemelezi

asanteni next tutaendelea ikiwa una maoni andika hapo like na coment shere na wengine waipate hii
je unataka tuendelee na hii? nasubir maoni yako
 
JINSI YA KUANDAA BANANA SHEK MILK

MHITAJI
NDIZI MBIVU 2
MAZIWA FRESH YALIYOCHEMSHWA NA KUPOA 2 CUP
ASALI KAMA UKIPENDA ILA MMI NIMETIA ASALI 2 TSP
JINSI YA KUANDAA
MENYA NDIZI NA TIA KTK BRENDA NA ONGEZA MAZIWA NA ASALI KISHA SAGA PAMOJA NA TAYARI KWA KUNYWA SAFIII KWA KUNYWA WA UMRI WOWOTEKUANZIA MIEZ 6 NA KUENDELEA
ASANTENI
Chef Prosper mush
 
 
na hzo safforn je? Pia nna shida nazo na hayo maduka ya waarabu au wahindi kwa dar soko la kisutu nitapata?maana kariakoo nimezunguka mpaka
Umefika kariakoooo umeshindwa KWENDA kisutu NANI akuendee NDUGU wajibika MTOTO shuhuliiii 10mins walking loj
 
Umefika kariakoooo umeshindwa KWENDA kisutu NANI akuendee NDUGU wajibika MTOTO shuhuliiii 10mins walking loj

Yo Pididiiiiii

Hsgsyuanshshwgagehsbebenscsgsbsjsha

Usheheuehehsjdjdjsjsgsgjefj
 
Yo Pididiiiiii

Hsgsyuanshshwgagehsbebenscsgsbsjsha

Usheheuehehsjdjdjsjsgsgjefj
USA BYYYYYYYYYYYYYB

MPWAA UPOO HIVI VIMBUNGA VIMETUKOSAAAANAFURAHIKUKUSIKIAMPWAAAHUKUNGOMAINOGELAINGIZAINDOAINAENDELEAWATOTOWANAONGEZEKALISHEZINATAMANISHAWAZAZIWANAKUNYWAUJIWAWATOTONOWDAYSHUJUIMTOTONANIMZAZINANIIIIIANYWAYAAHSANTENPOSTBSURISANAAAASANAAA
WASALAAM
PDIDY.B
 
Hhehdtff
 
Ni mi
ni miaka sasa ... nmepitia hii thread leo naombeni kujiwa... nna mtoto mwaka sasa miez 14 hapendi kula. Ukimpa anajitapisha na anataka chakula kilocho blendiwa .. ukimpa ndizi hujaisaga anatema....viaz mpaka uvisage na chakula kisiwe kiziiiito sana kiwe size... sasa cjui ni wote wapo hvo au ni yy tu... na chakula gani kizur kwa umri wake
 
Ulimaanisha mwaka na mwezi minne .
Pole sana mkuu kuna baadhi ya watoto husumbua sana kwenye chakula jitahidi kumpa huyo mtoto vyakula anavyopenda mpaka afikishe miaka miwili.

Wanangu amesumbua mpaka alivyoanza chekechea ( miaka mi3)
Ndio alichangamka na sasa anaendelea vizur anakula kwa bidii kabisa...!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…