Uchaguzi 2020 Lissu aahidi kufumua madudu ya Magufuli

Una uhakika gani BAK alifukuzwa kwa cheti feki? Mkoloni anarudi kivipi? Majibu yasiyo na hoja wala uzito. Majibu ya ki CCM.
Sasa mbona umepanikii?? Alifukuzwa ni jamaa yako, sasa na wewe unavimbaa, kwani wewe alitimuliwa kwa vyeti feki Si baba yako tuuu?? Ila pole saanaa.
 
Kwa maovu haya yote.. Sasa Magu alu apa kuilinda na kuitetea katiba ipiii??? Mungu atusaidie maana hata hao wanao msaidia kampeni wana pata shida maana jamaa katiba yake alitoka nayo Chato. Sio katiba ya Tanzania aliyo apa kuilinda
 
Una uhakika gani BAK alifukuzwa kwa cheti feki? Mkoloni anarudi kivipi? Majibu yasiyo na hoja wala uzito. Majibu ya ki CCM.
Hata ukijibiwa kwa maneno 1000 utasema ccm utawatambua tu kwa wingi wa maneno a.k.a paragraph!
 
Musitufanye kama nchi nzima ni mali ya CCM na CHADEMA. Hadi muda huu hujagundua kwamba Lissu siyo mtu wa kuwa rais?
Angalia madudu unayoandika, hayo ndo yamfanye apewe kura? Yaani yeye atakuwa rais wa kurekebisha na kutunga sheria tu, ili iweje? Tangu lini sheria zikaleta maendeleo. Wapi alikoona? Huko Ubelgiji? Na tena kwa ulimbukeni wake na wazungu , na kunyoa kiduku ktk umri wa zaidi ya miaka 50, mwambie akatibiwe tena. Kichwa kina kasoro hicho!
 
Serikali ya sasa inataka kuipeleka Tanzania kwenye primitivity.

Dunia nzima, mataifa mbalimbali yanatunga sheria za kuwapa wananchi uhuru zaidi na haki zaidi. Lakini jambo linalotia kinyaa, Serikali ya Magufuli kila siku inafikiria kutunga sheria za kuwadhibiti watu. Huu ni primitivity ya hali ya juu. Ni dalili kwamba tuna viongozi ambao hawajui ustaarabu wa Dunia ulipofikia. Wao wapo karne ya 18 ambapo tawala za kifalme na kichifu zilikuwa zikijiona kama vile wao ni binadamu zaidi kuliko wanadamu wengine.

Rais Magufuli ni binadamu. Samia au Majaliwa ni binadamu. Nje ya kura walizopigiwa na Watanzania, wao ni binadamu sawa na binadamu mwingine yeyote, tena wanaozidiwa mambo mengi mazuri na Watanzania wengi. Wao kuwa viongozi, na kila mara kufikiria kuwadhibiti binadamu wengine, ni ukosefu mkubwa wa busara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyuu lisu ata chadema wanalijua hiloo kuwa hafai atakuwa diwani, ndio maana ata mbowe ameamua kuachana nayee. Hakuna kitukinachoumiza eti atafuta kodii?? Hii inafikirisha saaanaa.
 
NEC must Go.

Bunge Live must come back.
 
Ikifika asubuhi, mtu ataamka na wakati akipiga mswaki na kuosha uso kuondoa tongotongo ndipo atajua kuwa ile ndoto aliyokuwa nayo usingizingi kuwa yuko kwenye ulimwengu wa maraha imeshapita sasa anabidi akatafute riziki yake ya siku hiyo kwa kutoa jasho.
 
Kuna inch gani ambayo imeshauzwa kwa mabeberu?hayo anayoyazungumza Ghana wako hivyo Botswana wako hivyo ondoa mawazo yako mgando hayo
Kama mumekula hela zao, zitawatokea puanii. Sisi tunajua mpinzani wetu wala sio nyie, sisi tunajua hiyo October,tunamgalagaza beberuu. Nyinyi nimawakala wake tuuu.
 
Huyuu lisu ata chadema wanalijua hiloo kuwa hafai atakuwa diwani, ndio maana ata mbowe ameamua kuachana nayee. Hakuna kitukinachoumiza eti atafuta kodii?? Hii inafikirisha saaanaa.
Kuna watu hapa JF wanaamini nchi ni mali ya CCM au CHADEMA na sasa wanaigombania! Kumbe ni yetu sote. Bwege mmoja tu akikosa aibu, akaanza kujinadi eti atarekebisha sheria, Barabara siyo maendeleo, ndege siyo maendeleo, watu wanatozwa kodi, nitapandisha mishahara, nk. anaaza kupata wafuasi na wanaamini huyo atakuwa rais bora.

Hali hii inanionesha kwamba tuna kundi kubwa la watu wajinga wanaostahili kunyimwa haki ya kupiga kura watatuponza kwa uzembe wao.
 
Yani Lisu hata maana ya ubeberu yeye mwenyewe haijui ndio maana wanamtumia watakavyo
 
Katika mambo makubwa ambayo lisu anatakiwa aungwe mkono nawatanzania wote niya yafutayo
1 uhuru
2 katiba
3 vyombo vya habari kuwa huru
Unajuwa mimi nilikuwa najiuliza sana maswali magu na chama chake walijitapa wanapambana na ufisadi utapambana na ufisadi wakati umevipiga pini vyombo vyahabari bunge kukosa meno unafurahi vinavyo kusifu hata hiyoshule yako inatia .........?
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…