Uchaguzi 2020 Lissu aahidi kufumua madudu ya Magufuli

Tanzania y magufuli
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
 
Reactions: BAK
Too good to be true,

Hakuna nchi ya aina hiyo duniani.

Huu ni utapeli mchana kweupe.
Kwa sababu umemzoea dikteta Huwezi kuamini
Hata wa Afrika Kusini hawakuamini kama ubaguzi ungeisha
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
 
Reactions: BAK
Nmegundua Lissu na Chadema ni Capitalist, Wakati CCM ni Socialist
 
Hebu soma tena uchafu huu ulioandika. Dunia nzima! Serikali inatunga sheria, zipi? Taja sheria moja unayohisi imetungwa kipindi hiki na unaona inakurudisha kwenye primitivity. Dunia ilikuwa primitive enzi za kuamini sheria ndo profession bora kuliko zote. Hiyo ndo hali yako na Lissu. Ndo maana kila wakati anawaza kutunga na kurekebisha sheria. Walio nje ya primitivity wanawaza sayansi na teknolojia, wapi umelisikia kwa Lissu?

Boss tuacheni hata sisi ambao hatutaki kusikia CCM na CHADEMA, tuwaze yaliyo mema, badala ya kuwaza hotuba za hovyo hovyo tu!
 
Ila unakubali kuwepo kwa nchi kama hii!!! SHAME ON YOU!


Too good to be true,

Hakuna nchi ya aina hiyo duniani.

Huu ni utapeli mchana kweupe.
 
swala la vyombo vya habar kidogo amenigusa ila wasi wasi wangu je atayaendeleza yale atakayo yaacha magu sio aingie mara ujenzi wa reli ufe bwawa la nyerere nalo lipotee m naona bora tumvumilie magu amalizie kile anachokipika akimaliza tunampa jiko mpishi mwingne au vp wakuu
 
Magu Ana miradi mingi Sana na hawezi kumaliza
Mpaka akimaliza wengi tutakua tume kufa na njaa nani atakuja kupanda ndege?
 
Magu Ana miradi mingi Sana na hawezi kumaliza
Mpaka akimaliza wengi tutakua tume kufa na njaa nani atakuja kupanda ndege?
mkuu tuige kwa wenzetu wao wanatengeneza kesho sio leo tumwache jamaa afanye yake matunda yake twaja kula mbeleni tena watafaidi zaidi watoto na wajukuu zetu hyo ndo maana halisi ya kujenga kwa sasa hatuna budi kukubali maumivu NB mchumia juani hulia kivulini
 
Wewe unasema hivyo kwa sababu nyumba yako haijabomolewa
Account yako haijafungwa
Kampuni ulikua unafanya Kazi haijahama
Ndugu zako hawajauwawa na watu wasio julikana
Shilling angalia pande zote
Tangu uhuru inchi inajengwa kwa cement na maji lakini Awami hii anatumia miili ya watu na damuzao
Rome was never built in one day
Kazi na dawa
Jenga jenga hata hela za rambirambi za wahanga wa mafuriko na tetemeko inajengea tu
Mafao ya wastaafu unajengea tu
Mishahara badala ya kuongezeka unapunguza kwa sababu unajengea
Hata MAKABURU walijenga sauzi lakini hawakuthaminika kwa mjengo
Mandela hakujenga hata km 2 lakini Ndio mwenye thamani sauzi
Tumechoka mtu anaekamua ng'ombe mpaka damu
 

Pumbavu kwelikweli.Utadhani atachaguliwa kweli.
 
Safi Lissuuu!
 
Mwenyezi Mungu atunusuru na hili pepo Hakika watanzania tusipokuwa makini,tunaenda kuwa masikini wa kutupwa!hamna hata sera ya kumkomboa mwananchi mnyonge..
 
Mwenyezi Mungu atunusuru na hili pepo Hakika watanzania tusipokuwa makini,tunaenda kuwa masikini wa kutupwa!hamna hata sera ya kumkomboa mwananchi mnyonge..
Kweli aliezoea utumwa uungwa hauwezi
Sisi wengine ni waungwana Tumechoka kutawaliwa na dikteta
 
Hatuko tayalii kuuza taifa kwa mabeberuu
Hapana. Na Lissu ndiye mwenye rekodi dhidi ya ubeberu wa kunyonya wanyonge kupitia kupitia migodi. Rejea harakati zake na maandiko yake toka miaka ya 90. Sisi akina fulani tunataja ubeberu kama fasheni tu.
 
Mitano ya utawala wa KIFEDHULI inatosha.
 

Attachments

  • Mitano ya Jiwe Yatosha.jpg
    127.4 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…