Lissu aendelea kuumbua wachawi

Lissu aendelea kuumbua wachawi

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Leo imeendelea kuwa siku njema kwa wengi na chungu mno kwa wale wengine.

Akihojiwa na Mwananchi, amekuwa wazi kuhusu chokochoko za wachawi:

IMG_20230203_192501.jpg

Ama kwa hakika washindwe na walegee.

Katiba mpya ni sasa.

-------
Source: Lissu ataka pangua zaidi jeshi la polisi
 
Ila wewe una weledi mkubwa katika kuchambua mambo, utaombwa kuwa mwenye kiti.
 
Lisu ameendelea kudai kwamba hayati Magufuli aliagiza msaliti hasitahili kuishi na baada ya muda mfupi Lisu akashambuliwa kwa risasi Dodoma, je kumbe Lisu alikuwa anajijua ni msaliti wa nchi?, maana Magufuli hakutaja jina la mtu alitaja msaliti.
Kwa nini Clouds FM hawakumuuliza dereva wake amemficha wapi?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza sababu za Acacia kufutwa Tanzania na hawakushitaki MIGA?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza kama alipigwa na Magufuli na sasa hivi ni miaka miwili Magufuli hayupo kwa nini uchunguzi haufanyiki sasa hivi?

Nb: watoto wa Mbowe na Lisu wote ni raia wa Marekani.
 
Leo imeendelea kuwa siku njema kwa wengi na chungu mno kwa wale wengine.

Akihojiwa na Mwananchi, amekuwa wazi kuhusu chokochoko za wachawi:

View attachment 2505142

Ama kwa hakika washindwe na walegee.

Katiba mpya ni sasa.

-------
Source: Lissu ataka pangua zaidi jeshi la polisi
Lissu anaogopa kilichomtokea Chacha Wangwe. Zitto yeye alisema "Chacha died but I won't" ingwaje alifukuzwa chamani. So, Lissu ujuaji wake wote anajua mipaka anayotakiwa asiivuke!
 
Lissu anaogopa kilichomtokea Chacha Wangwe. Zitto yeye alisema "Chacha died but I won't" ingwaje alifukuzwa chamani. So, Lissu ujuaji wake wote anajua mipaka anayotakiwa asiivuke!

Tulia wewe mwenzio yuko kwenye kuumbua michawi kwani umewaona vigagula wenzio huku?
 
Back
Top Bottom