Lissu aendelea kuumbua wachawi

Ila wewe una weledi mkubwa katika kuchambua mambo, utaombwa kuwa mwenye kiti.
 
Lisu ameendelea kudai kwamba hayati Magufuli aliagiza msaliti hasitahili kuishi na baada ya muda mfupi Lisu akashambuliwa kwa risasi Dodoma, je kumbe Lisu alikuwa anajijua ni msaliti wa nchi?, maana Magufuli hakutaja jina la mtu alitaja msaliti.
Kwa nini Clouds FM hawakumuuliza dereva wake amemficha wapi?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza sababu za Acacia kufutwa Tanzania na hawakushitaki MIGA?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza kama alipigwa na Magufuli na sasa hivi ni miaka miwili Magufuli hayupo kwa nini uchunguzi haufanyiki sasa hivi?

Nb: watoto wa Mbowe na Lisu wote ni raia wa Marekani.
 
Lissu anaogopa kilichomtokea Chacha Wangwe. Zitto yeye alisema "Chacha died but I won't" ingwaje alifukuzwa chamani. So, Lissu ujuaji wake wote anajua mipaka anayotakiwa asiivuke!
 
Lissu anaogopa kilichomtokea Chacha Wangwe. Zitto yeye alisema "Chacha died but I won't" ingwaje alifukuzwa chamani. So, Lissu ujuaji wake wote anajua mipaka anayotakiwa asiivuke!

Tulia wewe mwenzio yuko kwenye kuumbua michawi kwani umewaona vigagula wenzio huku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…