Lissu agoma kuwa taulo la damu

Bila shaka itabidi wafanye marekebisho ya haraka... Ila tusidanganyike, huwezi kuwa mshirika wa serikali halafu hapo hapo ukawa mpinzani. CUF/ATC ndiyo waliingia kwenye huu mtego na upinzani wa Zenji umekufa moja kwa moja.
Hayo mabadiriko ya haraka watayafanya kwa bunge gani? hili lijalo ambalo halitakiwi na Gen Z? Mseto hapana kwa kweli...
 
walifikiri siku zote ni sawa. Kuna watu humu akiwemo Pascal mayala nilikuwa namwambia mwisho wa maji ni tope na lenye mwanzo lina mwisho leo hii hana kauli kwasababu walikuwa wanaona policcm ndio suluhu.
Wapo wengi wanaoishi kwa mazoea.

Mayalla has long become irrelevant!
 
Wazee tulale kesho tuamke na nguvu kubwa ya kupeleka mashambulizi , kwangu naona ni heshima kulifia Taifa kuliko kuishi kama ***** kwenye Taifa lako.

Binafsi naona nibora tulivyoifikia hii hatua , vinginevyo hawa ******* wangelifikia hatua ya hata kutupapasa matako hadharani makuma ya mama zao 👺👺


Nikifa songeni mbele .
 
Hapa mbona hakuna jipya?

Si ni mpango huo huo uliomwangusha Freeman Mbowe; itakuwaje wawe wamesahau haraka kiasi hiki mara hii?

Tena baada ya kumfanyia madudu huyo huyo Tundu Lissu na chama chake; ni kipi kipya wanachotumia ili kikubaliwe?

Hizi ni dalili wazi za kuishiwa na mbinu. Wanarudia mbinu zilezile zilizo shindikana wakitegemea zifanikiwe wakati huu?
 
Bila shaka itabidi wafanye marekebisho ya haraka... Ila tusidanganyike, huwezi kuwa mshirika wa serikali halafu hapo hapo ukawa mpinzani. CUF/ATC ndiyo waliingia kwenye huu mtego na upinzani wa Zenji umekufa moja kwa moja.
Huu umekuwa ndio mchezo wa kawaida hapo Kenya; sasa huyu mpumbavu anafikiri atafanikiwa kuuleta hapa pia!

Alisha mnasa Mbowe kwa mtindo huu huu, lakini cha kushangaza kabisa ni kuwa hakuelewa kwa nini mshirika wake huyo alibwagwa chini?
 
Hayo maneno katika mstari wa pili; sijui kama umeyapanga kwa ufundi wako mwenyewe; au ni nukuu ya moja kwa moja toka kwa Tundu Lissu?

"...nipo kwenye mikono yenu, mimi siyo bora kuliko wengine, nilicho kisimamia ndicho ninacho kiishi na ndicho nilicho na utayari nacho hata wa kukifia kama wanachokifia wenzangu"

Haya ni maneno yenye maana kubwa, yakitoka kwa mtu mwenye msimamo thabiti juu ya anacho kiamini na kukisimamia.
Haya siyo maneno yanayosemwa hovyo hovyo tu na hawa wasaka fursa wengine wote.
 
Haya mambo yana mwisho wake, the one who laughs last, laughs best.
 
Uchaguzi bila mabadiliko ya msingi kwenye katiba ni bure, na jeshi la police lifumuliwe nje ndani lisiwe na influence ya wanasiasa au mtu yeyote, na vyombo vya usalama viwe na check and balance ili viwe wazi na wakivunja sheria wawajibishwe etc
Kabisa yaaani lifumuliwe liundwe upya
 
Wewe binafsi unamtazama mtoa maneno kwa sura ya namna gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…