Lissu aja na sera mpya ya Polisi

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Baada ya kuzidiwa kisiasa Lissu aja na Sera mpya ya kukaripia Polisi
 
Baada ya kuzidiwa kisiasa Lisu aja na Sera mpya ya kukaripia Polisi
JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv,simu,games nk
Watu wanataka furaha, amani, haki, heshima, shibe - kuishi bila hofu... wameyakosa haya kwa miaka mi5.
 
Dah nimeshindwa hata cha Ku comment,umeandika wazo LA kipumbavu zaidi ya neno upumbavu!.
 
WATU HAWANA TIME NA MAVITU HAYO,WATU WANATAKA SUKARI BEI ISHUKE,SEMENTI,BATI,UNGA BEI IWE CHINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…