Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hili ndio swali langu kwa timu Mbowe na vibarqka wengine plus MA-CCM wote wanaotaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
Lema na Lissu, mjue Mbowe sio wa kumsitiri tena kwa lolote. Yuko kimya ila msifikiri Wenje yuko peke yake. Huyu katumwa.
Wameona wana hali mbaya sasa wameona waibue tuhuma ili mchafuke na lengo ni kuhakikisha Lissu jina lake linachafuka.
Jiulizeni, siku zote walikuwa wapi wakati hizi tuhuma za kutaka kumpindua Mbowe ni nzito kiasi hiki?
Kwanza hizi tuhuma hata haziingi akilini na bila shaka huu uzushi ni kazi ya watu wa propaganda kutoka chama cha mboga mboga.
NB: Usilete ugomvi wa mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo.