Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
chawa wa mama proIli tujue lema na lissu ni wasafi watueleze kwanini walimsafisha lowassa na alitoa shs ngapi kuinunua chadema na yeye lisu alikuwa kinara wa kumchafua lowassa kuwa ni mla rushwa na kwanini 2015 ajenda ya rushwa ilizikwa rasmi na kuondoa list of shame kwenye tovuti ya chadema!
empty set, aka vacuum.Ili tujue lema na lissu ni wasafi watueleze kwanini walimsafisha lowassa na alitoa shs ngapi kuinunua chadema na yeye lisu alikuwa kinara wa kumchafua lowassa kuwa ni mla rushwa na kwanini 2015 ajenda ya rushwa ilizikwa rasmi na kuondoa list of shame kwenye tovuti ya chadema!
Nyie CCM mlikouwa mnassma Mbowe astaafu halafu leo mnataka aendelee kuwa Mwenyekiti, nani atawaamini watu kama nyie?Ili tujue lema na lissu ni wasafi watueleze kwanini walimsafisha lowassa na alitoa shs ngapi kuinunua chadema na yeye lisu alikuwa kinara wa kumchafua lowassa kuwa ni mla rushwa na kwanini 2015 ajenda ya rushwa ilizikwa rasmi na kuondoa list of shame kwenye tovuti ya chadema!
Kabla hamjashika mamlaka tuhuma kibao zinawaandama rushwa ufisadi ulevi na uzinzi nani atawaamini!Ccm imeaminiwa ndio maana ipo madarakani!Nyie CCM mlikouwa mnassma Mbowe astaafu halafu leo mnataka aendelee kuwa Mwenyekiti, nani atawaamini watu kama nyie?
Wewe ni chawa wa lissu!
Kubabake, waruhusu uchaguzi wa huru na haki waione show. Wataondoka na kura zao na za wake zao tu.Ccm imeaminiwa ndio maana ipo madarakani!
Kubabake, waruhusu uchaguzi wa huru na haki waione show. Wataondoka na kura zao na za wake zao tu.