Ilikuwa hivyo na ilipaswa kuwa hivyo kwa nyakati hizo, lkn kwa sasa kuna umuhimu wa ukomo wa madaraka kurejeshwa. Hiki ndicho mbangaizaji ameshauri.
Hii tabia ya ccm na machawa wao kukumbatia the past ndiyo inaligharimu taifa. Siasa inapaswa kwenda na wakati.