Uchaguzi 2020 Lissu akishinda uchaguzi sijui itakuwaje!

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Nawaza kwa mfano Lissu akishinda 2020 sijui watu wengine wataweka wapi sura zao.

Hawa wasanii wetu ambao kila kukicha wana nyimbo za kumsifu na kusherekea uongozi wake sijui na wao wataweka wapi sura.

Na wananchi wenye mawazo negative kuwa CCM haiwezi toka madarakani sijui na wao watasemaje.
 
Kesho utawaona wanamsifia Lissu, subiri na huyu mungu mtu amalize utumishi wake uone kama kuna mtu atamkumbuka
.... kama kuna mtu atadhihakiwa huko Lumumba kuliko mtu mwingine yeyote ni yeye! Believe me; muda huu wanaimba sifa zake kwa sababu kwa namna moja au nyingine wanafaidika na uwepo wake but; after his departure loooh!
 
Lissu hawezi kishinda uchaguzi!..Kura zake hazitazidi hata 10% ya wapiga kura! .Tuache kuota ndoto na kujipa matumaini hewa.Yaan hata wapinzani waungane wote hawawezi battle na JPM halipingiki Hilo, yule ni kisiki cha mpingo hawamuwezi!. Hii ni kwa sababu alioyoyafanya yanaonekana kwa macho, mpaka sasa sijaona hoja yoyoye ya maana aliotoa lissu zaidi ya kua attack mtu tu !.
 
Lissu atashinda kwa kishindo week mzima hakuna kufanya kazi Dunia itasimama week mzima
 
CCM wamechokwa sasa tutaanza kuona vigogo wa ccm wakikimbia, wanasubiri tu nani amfunge paka kengele.
 
Haitakua kitu kwakua hawezi kushinda
 
Lissu ni kiongozi bora anajua kila mtu ana uhuru wa kuchagua upande aupendaye, hawezi kuwatenga wala kuwabughuzi

Jibu zuri sana. Lissu hana visasi vya kubomoa nyumba za watu, wala hawezi kupeleka maendeleo Ikungi pekee. Nchi itaendeshwa kikatiba.

Hakutakuwa na watu kupotea au kutekwa au kuuwawa kiholela
 
Ndoto za bunuasi. Siku Chadema wakiamua kwa dhati kupambana na Dola, nitajiunga nao ila kwa sasa hapana, acha niwe obzeva tu
 
Lissu akishinda mabeberu yatakuja kwa fujo.. wa tanzania tutageuzwa mbuzi jike na ma beberu
 
ikitokea na kama wengi tunavyotarajia basi hakuna namna wanashauriwa tu kunnywa maji ya kutoasha ili kupanua moyo na maisha yanaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…